matumaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Upinzani Tanzania umebeba matumaini ya wananchi kwa kiasi gani?

    Wanamudu na kustahimili uzito wa matumaini na matarajio ya wa Tanzania? Wanathamini na kuheshimu thamani wanayopewa na wananchi? Unaaminika kwa kiasi gani kubeba jukumu kubwa na zito la kuongoza nchi? Nini kifanyike upinzani uwe na sura, sauti na uelekeo moja? Hebu njoo taratibu na kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Festus Bulugu Limbu anafaa nafasi ya juu Serikali humu nchini

    Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo. Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hatupaswi kuweka matumaini yetu kwa dereva peke yake hata kama tunamuamini!

    Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza! Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo. Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi...
  5. JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida: CCM Ndio Chama Pekee Kinachoweza Kuleta Matumaini kwa Wananchi

    Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Tumaini letu katika afya

    Mabadiliko na mageuzi ya kiutendaji yanayowekwa na kusimamia utawala bora katika kutoa huduma sehemu mbalimbali ni wazi zinaboresha uwezo na ufanisi wa utelekezaji mzuri katika kutoa huduma husika katika ngazi tofauti kwa namna bora na kiyapekee. Miongoni mwa huduma muhimu zenye uhitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

    Naanza mimi hapa. Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote. Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nilimtumainia sana Rais Samia, sasa naanza kukata tamaa

    Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba; 1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe! 2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua. 3. Danadana za Katiba mpya. 4. Naibu Waziri na ajali yenye utata. 5...
  10. JamiiForums Tanzania Ni katiba Mpya pekee itakayoweza kuwatofautisha wanasiasa na mwenyesiasa nchini Tanzania

    Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa kitume uliowekwa na katiba ya sasa. Kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa hii ya mwaka 1977, chini ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Sungusia kuchaguliwa rais wa TLS; matumaini ya katiba mpya yameanza kuonekana

    Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria. Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yaleta tabasamu na Matumaini kwa Wakulima

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini iliyoleta Nuru na Mwanga kwa wakulima,Sasa Taifa ni Nuru tupu na mwanga kila eneo. Ikumbukwe ya kuwa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania - NGOs

    Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania - NGOs * Wampongeza kwa uongozi wa kimageuzi Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Matumaini yangu Mgeni kaombwa atuletee Watu wake ili Watuambukize Akili zao Kubwa nasi tuendelee haraka kama Wao

    Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku. Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
  16. JamiiForums Tanzania Umepoteza Matumaini? Nina ujumbe wako hapa

    Nina ujumbe wako hapa, Ubongo wako unaweza kukuambia kuwa mambo ni: Mabaya Ya kutisha Hayafai Lakini kwa sababu tu unafikiri haimaanishi kuwa ni kweli. Mawazo yako yanaweza kuwa ya: 👉kupotoshwa 👉yasiyo sahihi 👉vibaya kabisa Sasa, Endapo utakuwa na hali hiyo fanya yafuatayo... Jenga mtandao...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ya China yaanza kukiwa na matumaini mapya

    Wakati wa Mikutano Miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China NPC, na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC umefika. Hii ni mikutano muhimu ya China ambapo vyombo vikuu vya uwakilishi wa umma na majadiliano kuhusu sera na mambo yanahusu taifa yanafanyika. Mara zote...
  18. JamiiForums Tanzania Wapinzani futeni matumaini ya kuachiwa majimbo 2025

    Nimesoma sehemu mbalimbali kwamba inasemekana mojawapo ya sehemu ya maridhiano ni wapinzani kuachiwa majimbo kadhaa ya uchaguzi. Baada ya kutafakari sana kisha ku-connect dots na haya matusi ya viongozi waandamizi wa upinzani dhidi ya bodaboda na makundi mengine ya kimkakati nikahisi inaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu, Wananchi wabubujikwa na machozi ya Matumaini

    Hakika bado wapo Watanzania wanaoililia nchi yao kutokana na ukweli kwamba hakuna tena viongozi wenye uchungu nao, sasa anapokuja mtu kama Tundu Lissu aliyejidhihirisha wazi kutetea wananchi ni lazima hali kama hizi zijitokeze.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

    Ndugu zangu , Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…