Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu.
Romero alitoa kauli...
Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania.
Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
MATUMAINI:
katika mambo yanayokwamisha mtu kuweza kuendelea ni pale anapokutana na changamoto mbalimbali za maisha hasa pale unapokuta unashindwa kufikia malengo uliyoweka kwa wakati,hali hii moja kwa moja watu huweza kumlaumu Mungu.
Inawezekana umeshapitia magumu fulani na kama hujapitia...
Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho.
Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar.
Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).
Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026:
2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit")
Kwa...
Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi.
kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri.
Akiwa afisa mkuu mtendaji wa Kampuni ya Chrises Real Solutions, kila tunda kwake si kwamba analiona ni mavuno tu...
Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa, juhudi za Timu za Madaktari wa China katika kushughulikia masuala ya afya barani Afrika si jambo la...
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia...
Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress.
Hizo press za...
Kijasusi zinaitwa psyops.
Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea.
Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
Wajomba leo sina habari za kijiweni.
Kuna binti mmoja niwahi kuwa naye kwenye tukawa marafiki kama mwezi hivi, sasa baada ya hapo alijiforce akawa anataka mahusiano, sikuwa na shaka sana nilijua hilo husiano likidumu labda miezi 3 tu litakufa, aysee si nikajaa kwenye mfumo?
Binti anajiweza...
GTs
Walioko karibu na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tafadhali mfikishieni ujumbe huu kwa unyenyekevu na mapenzi mema: Hotuba yake ya leo kuhusu Mpina pamoja na zingine zenye mwelekeo wa malalamiko zinamharibu zaidi kuliko zinavyomjenga. Mwambieni kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa!
Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%!
Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona.
Safari ya...
Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi nyingine.
Mechi ijayo ya Yanga na Mazembe kwa Mkapa uwanja utajaa sana mashabiki kwenda kuipa sapoti...
Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku.
Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake.
Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua maabara hapa sasa naombeni msaada pia.
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.