Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi.
Akizungumza katika kikao...
Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa kufanya maombi ya utarajali yanayotakiwa kuanza tar 1 november.
Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET.
Miaka yote hiyo walikuwa wanafanya nini? Sasa mtu hawezi kuendelea na Degree mpaka matokeo yawepo...
Habari, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Matokeo ya mwaka huu yametoka, lakini kwa baadhi yetu yamewekwa kwenye mfumo kama “withheld”, licha ya kuwa tumekamilisha malipo yote ya ada na hatuna deni lolote la chuo.
Chuo kimetoa namba ya Bursar ambayo wanafunzi wenye changamoto...
Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa kwenye mfumo hadi sasa.
Hadi wakati huu, bado hatujapewa taarifa rasmi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa...
Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu.
Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa.
Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0.
Umezaliwa Afrika? 2–0.
Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0.
Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0.
Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0.
Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36.
Uchaguzi huo...
Furaha yangu ni kuona Taifa Stars inateseka. Huu ni mwanzo tu. Bahati yenu AFCON mwaka huu haitakuwepo maana kutakuwa na maandamano ya kudai uchaguzi vinginevyo mngefungwa mechi zote.
Jana nimeona katika vyombo vya habari NSSF wakijinasibu kwa ukwasi mkubwa waliotengeneza.
Jambo hilo linaonekana kama hatua ya mafanikio kwa shirika hilo lakini mimi nalifananisha na jambazi mwenye silaha za moto aliyefanikiwa kupora mali za watu na sasa anatoka hadharani kutamba kwamba...
Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo.
Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
NB: Lalamiko hili linawasilishwa kwa heshima na kwa nia ya kulinda haki za wanafunzi pamoja na uadilifu wa kitaaluma wa Chuo.
Kumekuwa na ucheleweshaji wa kutolewa kwa matokeo, hususan kwa wanafunzi waliofanya mitihani ya marudio (Supplementary/SUP), ambapo hadi sasa baadhi ya matokeo...
Anonymous
Thread
alama
katika
kutoa
matokeo
mchakato
uadilifu
wanafunzi
Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu.
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM imekuwa sehemu ya uongozi na shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii nchini. Kwa miaka yote hiyo...
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo?
Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one.
Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
Anonymous
Thread
chuo
chuo cha mipango
diploma
kufungwa
matokeo
mipango
mkopo
mwanza
nactvet
wamegoma
yangu
Hakuna anaendesha maisha yako
Kimazinga ombwe
Hakuna anaeamua ni kiasi gani upate na kiasi gani ukose
Hakuna faraja ya kimazingara au muujiza kwa anaenyanyaswa
Hakuna adhabu ya kimazingaraa au muujiza kwa anaekunyanyasa
Sheria zinatungwa na alie na nguvu
Uimara wa akili yako ndio...
Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA).
Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...