Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
Matajiri waliokuwa na pesa za uhalali hukuwahi wasikia wakimlaumu huyu Mzee...Waliokuwa wanasema Mzee Magu hapatani na matajiri walikuwa hawamalizii ni matajiri wa aina gani. Magu ukimsifia saana anaanza kuwa na mashaka na ww. Mzee alikuwa hana chawa ila kazi yke ndio ilikuwa chawa. Leo Mkuu wa...
Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza mwaka 1948 ila huwezi amini wakati nasoma ule ukuta wake huwezi gongelea msumari kirahis ilikuwa kwa...
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Wakuu kuna zile siku za sikukuu huwa tunaona maonyesho ya Wanajeshi kuvunja tofali kwa mikono au kichwa mmeshawakumbuka eeh?
Ule uwezo kuna mtu anaweza kunipa dondoo unapatikana vipi inachukua muda gani au pengine huwa kuna dawa ya kupaka kutia ganzi kupunguza maumivu?
Nimeamia kibandani...
1.unaweza kuikodisha anytime
2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa week 1 una tofali 1400 ambazo ni zaidi ya million 1 na laki 4 ukitoa mchanga, maji na cement hapo...
Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
Ukijaaliwa kupata uwezo jenga kwa kutumia tofali za simenti hizi mnaita blocks maana zinadumu dahari.
Mzee wangu alijenga miaka hiyo kwa kutumia hizi tofali za blocks saivi kashastaafu anapeta tu. Ila wenzie waliojenga kwa tofali za madongo saivi nyumba zimeshachoka hoi nyingine zimeshaegama...
MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
Habari naomba kuuliza makadirio ya ujenzi wa uzio wa kawaida tu wa matofali kwenye eneo lenye urefu mita 120 na upana mita 80 inaweza kutumia matofali mangapi? Nataka nianze kukusanya tofali mdogomdogo
Wakuu za jumamosi. Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki
Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara. Kabla naomba kupata uzoefu kdg. Aina na gharama ya mashine nzuri za kufyatulia, maeneo mazuri ya kufungulia biashara hiyo, usimamizi wake ukoje, faida na hasara...
Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
Wakuu, nawasalimu kwa jina la Bwana wa Majeshi.
Wote tunajua jinsi uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana. Kwa kifupi ulipatikana kwa njia za majadiliano na diplomasia.
Ningependa sana kuona kila tunapokaa kusherehekea uhuru wetu, tukumbushane jinsi gani majadiliano, ustaarabu na diplomasia...
Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae.
Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.
MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani ameagiza Halmashauri zote kuwa na Benki ya Tofali kwa kila Kijiji.
Alisema hatua hiyo itasaidia kukabiliana na upungufu wa vyumba vya madarasa pindi muda wa wanafunzi wanapotakiwa kijiunga na Darasa la Kwanza ama Kidato cha Kwanza.
Balozi Dkt...
Nilibishana na rafiki yangu, yeye ameamua kujengea matofali ya kuchoma. Anasema ubora wa tofali la kuchoma liliokwa sawa sawa unazidi matofali ya saruji. Yeye pesa anayo ila ameamua kutumia matofali ya kuchoma katika ujenzi wake. Hivi ni kweli kuwa matofali ya kuchoma ni bora kuliko ya...
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee...
Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure.
Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo