matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    Mke amfungia Mume ndani amnyima Matibabu

    Habari ndugu zangu, katika pitapita zangu ndugu yenu leo nimekutana na jambo ambalo kibinadamu siyo la kawaida. Katika mtaa wa Chem Chem maeneo ya Uyole inapatikana familia ya Mzee SIMONI ROMANUS PELLA . Mzee SIMONI ROMANUS PELLA anasumbuliwa na ugonjwa ambao umemfanya ashindwe kutembea na...
  2. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation Yaandaa Kambi ya Matibabu Bure Morogoro

    Na Mwandishi Wetu Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
  3. Parabolic

    Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  4. Traxtion

    Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  5. VERBOSE

    NILIPOKUA Mkoa X nikapatiwa Dawa ya Maajabu kwa ajili ya Matibabu ya Haraka, Nikapona

    Nilipokua Mkoa X Mwaka Z, ghafla tu nikaanza kuumwa ugonjwa fulani siuelewi ulipotokea mpaka nikaanza kuhisi labda nishapigwa kipapai au namna gani vile maana ule Mkoa unasifika kwa hayo masuala ya kuroganarogana tu, usiku hakulaliki mchana hakukaliki na haakutembeleki baridi sio baridi joto sio...
  6. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Mtoto aliyesaidiwa na Rais Samia aanza matibabu ya Kibingwa MOI

    Mtoto Nicholaus Nkinga (9) ambaye changamoto yake ya matibabu ya mguu iliyomgusa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kupata matibabu ya kibingwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo mwenye...
  7. Troll JF

    FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  8. Mshana Jr

    Ndugu zetu wanahitaji msaada wetu ili waweze kupata matibabu

    . Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali. Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia mwema alitujulisha kwamba Kuringe kafichwa kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam...
  9. L

    Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  10. Mayova

    Msaada wa matibabu ya vidonda vya tumbo

    Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
  11. Waufukweni

    PostGE2025 Waziri Mkuu: Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
  12. and 998 others

    Hospitali za India zimebaki kupiga hela, matibabu yapo Ujerumani

    Kama ulitegemea India kimatibabu andika kabisa Wosia na uukabidhi kwa Mwanasheria maana kurudi mzima ni 20% RIP Rt Hon. Raila Odinga
  13. Waufukweni

    GE2025 Polepole: Mama haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, halafu Tanzania Bara wanalipia

    Polepole: Haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, alafu Tanzania Bara wanalipia hii inaua umoja
  14. Wakusoma 12

    Hili la kuzuia kuruhusu maiti kuchukuliwa bure mbona linakinzana na sheria ya bima ya afya kwa wote? Kina nani hao watatozwa pesa za matibabu?

    Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote. Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa kulipia gharama za matibabu ndugu zao wataruhusiwa kuchukua maiti bure! Swali ni kina nani hao...
  15. kyagata

    Ni kweli Bob Junior yuko hoi na kakosa pesa za matibabu?

    Nimeona huko instagram Giggy money anatangaza kuwa Bob junior yuko hoi kiafya na kakosa pesa za matibabu,na wasanii wenzake wamemtenga? Je hizi taarifa ni za kweli?
  16. ELI COHEN

    Tunatesa sana wake zetu, tunawakusanyia magonjwa huko na kuwaletea home kupelekea kupata inflamation, matibabu kuwa ya shida sana lastly kutolea kizaz

    Maambukizi haya yanaweza kuathiri shingo ya kizazi, mji wa mimba (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes), na ovari, na ikiwa hayajatibiwa kwa wakati, yanaweza kusababisha madhara makubwa kama vile ugumba, mimba nje ya kizazi, maumivu sugu ya nyonga, na makovu ya viungo vya uzazi. Kama...
  17. kavulata

    Polepole huenda anahitaji usaidizi wa matibabu kuliko kitu kingine chochote

    Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie...
  18. Nipe Maji

    GE2025 Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, UKIMWI na Malaria nchini

    Serikali ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2024/25 na 2025/26 imetoa jumla ya Dola Milioni 114 sawa na Shilingi Bilioni 298 za kitanzania kuongeza manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha zilizokuwa zikitumika kupambana na magonjwa ya Kifua Kikuu, UKIMWI na malaria nchini. Hayo...
  19. Dr PL

    Je ulishawahi kusitisha au kumsitishia ndugu yako matibabu hospitalini?

    Kuna wakati mgonjwa aliyelazwa hospitalini au ndugu zake huamua kwa hiari yake/yao kusitisha/kumsitishia matibabu bila ridhaa ya daktari kutokana na sababu mbalimbali. Je wewe mdau ushawahi kulazwa hospitalini ukasitisha kuendelea na matibabu? Au ulishiriki kumsitishia ndugu yako matibabu? Je...
  20. R

    Baba wa kijana aliyepigwa risasi kwenye maandamano atapeliwa zaid ya Tsh. Milioni 4 fedha ya matibabu

    Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Back
Top Bottom