Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema Mtambo huo utazimwa Januari 11, 2023 saa 12 asubuhi ili kufanya matengenezo ya Mabomba Makubwa ya Inchi 48 na 36 eneo la Mlandizi na Visiga.
Maeneo yatakayokosa Maji ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza...
Kuna sehemu kule Juu unaona kabisa Bati limeanza kuachia huku Lami iliyoko kwa kule Juu nayo ikianza Kuisha.
Ni Daraja zuri ila liwe linafanyiwa Matengenezo na Uangalizi ili Kuliimarisha kwani kuna muda hata ukiwa kule Juu unasikia kabisa likinesa na Uimara wake kutia Shaka.
Ombi langu hili...
DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO
Na Crispin Gerald
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
Jioni ya leo Agosti 17,2022 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa tangazo la kuahirisha zoezi la matengenezo kinga kwenye mfumo wa LUKU kama ilivyotangazwa mapema hivi leo asubuhi.
Tangazo la awali lilisema Tanesco kuzima mfumo wa kununua Luku kwa siku 4 kuanzia Agosti 22 hadi 25 kuanzia...
Serikali ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuboresha viwanja vya ndege nchini kutanua wigo wa kibiashara ili kuinua uchumi nchini. Katika ya viwanja vya ndege vilivyofanyiwa Marekebisho nchini, kiwanja cha Mtwara matengenezo yake yamefikia 92% ambapo barabara ya kutulia ndege ilitanuliwa...
Kwa zaidi ya wiki na kitu sasa umeme unakatikakatika hovyo na mbaya zaidi unakatika bila hata taarifa.
Leo umekatika na tumeshindwa hata kuangalia mtanange kati ya Coastal Union na Azam Fc.
Waziri mwenye dhamana huwa na kauli mbiu mbili tu. Mgao au matengenezo ya miundombinu chakavu. Atuambie...
Salaam Wakuu,
TANESCO kilimanjaro imetoa ratiba ya matengenezo ya miundo mbinu na namna ambavyo mgao utafanyika kuanzia Februari 1 mpaka Februari 10. Tazama ratiba hii katika picha hizi hapa chini.
PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
Mh. January Makamba, kuwaongopea na kuwadanganya wananchi haina afya kwa taifa. Kama wizara hii uliikuta na makando kando mengi, ni vyema ukakaa pembeni ili usipoteze sifa yako ya uongozi.
TANESCO wanatangaza mgao tena, yaani watu warudi kwenye manunuzi ya generator? Ni shughuli ngapi za...
Ni siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme...
Papa Francis akiwa mimbari
I. USULI
Kitu kinachowaunganisha wanajumuiya ni imani ya pamoja kuhusu vitu vinavyoonekana na visivyoonekana (belief), kanuni za kimaadili zenye kutamka miongozo na miiko kuhusiana na matendo binafsi na matendo ya pamoja wakati wa kutekeleza ajenda ya pamoja (norms)...
Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo...
Kuna eneo linaweza kutoa ajira, japo litahitaji mtaji mkubwa kidogo. Wangalau 50m itawezesha kuendesha huduma hii. Inafahamika kuna watu wengi wanaobanwa na kazi siku nzima kiasi kukosa muda, na wengine hawana ufahamu wa kutosha sehemu ya kuweza kupata huduma mbalimbali.
Makundi tajwa hapo yote...
Kila mtu mwenye gari hafurahii akiwa barabarani na kutambua kwamba gari haliko sawa. Inakuwa mbaya zaidi ukiwa huna hakika kwamba tatizo ni nini.
Ila, matatizo ya yanayotokea huwa yana husisha vitu vitatu. Na bahati nzuri, huhitaji kuwa mtaalam wa magari kuzitengeneza.
1. Betri Iliyokwisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.