matendo

Conquest of the Crystal Palace, known in Japan as Matendōji (魔天童子 (まてんどうじ), Demon Heaven Boy) is a 1990 Nintendo Entertainment System platform game developed by Quest and published by Asmik Corporation of America (subsidiary of J:COM).

View More On Wikipedia.org
  1. The Zanzibar Echo

    Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
  2. Pascal Mayalla

    Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo, Je Tuache Ushindani wa Haki Bila Haja ya Kumshindanisha na Vivuli!, ili Ada Zake Zimnenee Au...?

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo Mada ya leo ni kuhusu "Ada ya Mja Hunena, Muungwana ni Kitendo", nikiuliza je tuache ushindani wa haki kwa wagombea wa ukweli wenye kuleta ushindani, ili tusimshindanishe na vivuli!, ili kuziacha ada za mja huyu ndizo zimnenee hiyo October...
  3. M

    Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  4. The redemeer

    Usiishi dini, ishi matendo

    ⭐Tolstoy aliamini kwamba imani ya kweli haipaswi kuonyeshwa tu kwa sala, ibada, au mafundisho ya kidini, bali kwa jinsi mtu anavyoishi. Mtu wa dini anapaswa kuonyesha huruma, haki, na maadili mema katika matendo yake ya kila siku. ⭐Badala ya kushiriki mijadala kuhusu dini au kueleza mafundisho...
  5. Carlos The Jackal

    Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
  6. Alloyce PR

    Matendo huzungumza zaidi ya maneno

    "Kuwa bora hakuhitaji majigambo; matokeo ya kazi yako ndiyo yatakayosema kwa sauti kubwa zaidi kuliko maneno."— Alloyce, P.R.
  7. Fbn

    Hivi kwanini wanawake hufanana tabia na matendo

    Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya. Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja. Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo. Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali. Haw hapa. aung san suu...
  8. Stuxnet

    GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu

    Je Faustin Mafwele ni nani? Kwa nini analalamikiwa sana? Kwa mujibu wa AI ya GROK iliyopo mtandao wa X:- Faustine Mafwele ni afisa wa jeshi la polisi la Tanzania, ambaye kwa sasa ana cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (Assistant Commissioner of Police - ACP). Ameshikilia nyadhifa mbalimbali...
  9. Z

    Kununua magori au kudhamini michezo kwa mamilioni, wengi ni kusafisha matendo yao machafu.

    Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine. Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
  10. J

    Kutunza na Kufua Nguo na Matendo Yetu

    Kutunza na Kufua Nguo na Matendo Yetu Nguo au vazi linawakilisha “matendo ya mtu”. Maana yake ni kuwa kiroho, mtu mwenye mavazi safi, maana yake matendo yake pia ni safi. Kinyume chake, mwenye mavazi machafu maana yake matendo yake si safi (Ufunuo 19:18). Kuna uhusiano kati ya mavazi ya mtu na...
  11. R

    Irresistible logical conclusion kutokana na matendo yaliyofanywa jana na polisi kwa wafuasi wa Chadema ni ipi?

    1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema 2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma 3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana! CONCLUSION; matukio yote ya kupotea kwa watu...
  12. The Palm Beach

    Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  13. H

    PreGE2025 CCM Isichukiwe Kwa vile ni CCM, wala Kiongozi wa CCM Asichukiwe Kwa Sababu tu ni Kiongozi Wa CCM, Bali Kwa Matendo Yao

    Kati ya watu walioonekana kumwunga sana mkono Rais Samia mara baada ya yeye kutangaza 4R, walikuwa ni wanachama na wapenzi wa vyama vya siasa vya upinzani, na wapenda demokrasia wote wanaoipenda nchi yao kwa dhati na kweli ya moyo. Watu hao hao ndiyo leo hii wanaonesha kumchukia sana Rais Samia...
  14. Dogoli kinyamkela

    Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  15. ELI COHEN

    Nimegundua kuwa watu nafsini mwao wanaelea matendo ya mitume wa kileo yamekaa kitapeli ila ulimbukeni wao wa mambo ya kufikirika ndio unaojaza kiu yao

    Naelewa tabu zimekuwa nyingi, ILA, Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu? Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma "Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" ...
  16. Mshana Jr

    Wakati mwingine, wengine huchukulia wema na matendo mema kuwa ni haki yao na sio ukarimu kutoka kwako

    Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi. Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Haya ni baadhi ya matendo ya kimaskini yanachochea umaskini. Jitahidi uyaepuke

    Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati. Matendo ya kimaskini ni pamoja na ; 1. Kuomba punguzo kila bidhaa anayonunua. Akiambbiwa suruali hii inauzwa sh. 25000...
  18. R

    Zifuatazo ni athari za kumchafua mtu wa ndani kwa matendo ya mtu wa nje

    Salaam,Shalom!! Twende Kwa kifupi zaidi, Mtu wa ndani ni nani? Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Mtu wa nje ni nani? Mtu wa nje ni mwili uliotokana na udongo, Mtu wa ndani ana viungo vya mwili vyote kamili, hata kilema wa Kuzaliwa au kipofu wa mwili, katika yule mtu wa...
  19. ngara23

    Matendo ya kihuni yaliyofanywa na mashabiki na viongozi wa Simba 2024

    Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, hebu niweke mambo ya ajabu yaliyofanywa na Simba mwaka 2024 1. Kung'oa Viti 256 uwanja wa Taifa na kuwadhuru warabu wa Tunisia, Taifa limepata aibu kubwa 2. Kuvunja vioo na milango uwanja wa CCM Kirumba 3 Kumdhalilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza pamoja na police...
  20. a sinner saved by Christ

    Matendo mema ni akiba yako(wema hauozi)

    Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani. Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema. Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo. Imani bila ya kuwa na matendo mema imekufa. Ni heri kutoa kuliko kupokea.. Mikono inayotoa kusaidia wahitaji...
Back
Top Bottom