Netanyau huyu jamaa inawezekana ni muda mrefu alikuwa akitafuta sababu ya kuwachabanga Hamas. Hamas wakajichanganya. Wakajaa kwenye mfumo. Sasa kichaa kapewa panga. Anapasua roho zao.
Hamas wanasema wapo tayari kukabidhi nusu ya mateka. Neta anasema hata mkitaka kaeni nao sisi hatuna haraka...
Yanayoendelea Gaza yanazidi kuutambulsho udhaifu wa Marekani na Israel mbele ya Hamas,na kwamba si watu wa kufanya nao mkataba wowote ule wa kuaminika kwa kauli zao.
Kiongozi mkubwa wa Hamas amesema walifanya mazungumzo ya moja kwa moja na mwakilishi wa Trump,aitwaye Steve Witkoff ili kumwachia...
Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti
Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita.
Hamas...
Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani
Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu ya mashariki ya Kati bila kuihusisha israel,yakiwemo makubaliano na houthi ambayo yalipiga pande...
Mkuu wa Majeshi ya Israel amewaonya kwa mara nyingine tena magaidi wa Hamas kuwa Majeshi ya Israel yataongeza mbinyo kwa magaidi hao huko Gaza mpaka mateka inayowashikilia waachiwe huru.
Hayo yamejiri baada ya shambulio kubwa kuwasaka magaidi waliokuwa wamejificha kwenye nyumba moja huko Beit...
Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL)
Waziri Mkuu...
Alon Ohel amekuwa kifungoni huko Gaza kwa siku 570, akiwa na njaa, akijeruhiwa, akinyanyaswa na kufungwa minyororo.
Alon alipoteza uwezo wa kuona katika jicho moja na alikuwa na vipande kwenye mwili wake tangu tarehe 7 Oktoba.
Leo babake alitoa habari mpya kuhusu hali yake ya kushangaza...
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema
"Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya.
Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia.
Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi la Israel kuteka ardhi zaidi ya Wapalestina, mpaka hapo Hamas watakapowaachilia mateka. Waziri Katz...
Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha.
Hata hivyo IDF ilidai kulitungua kombora hilo wakati houthi walidai lilipiga shabaha yake huko jangwa la Negev
Wakati huohuo...
Jeshi la Israel limetoa ONYO kali kwa Magaidi wa Hamas i kiwa watajaribu kuwadhuru mateka wa Israel kufuatia tishio lao la kuwaua mateka wa Israel endapo Israel itaendeleza mashambulio yao kwa magaidi hao. Jeshi hilo limesema huko kutasababisha eneo lote łka Gaza kuchukuliiwa na majeshi hayo.
Mjumbe wa Israel kwenye Umoja wa Mataifa a Waambie ukweli UN kuhusu msimamo wa Israel huko Gaza.
https://x.com/phareselisha1/status/1902032088691331463?s=61
Habari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa Nishati, Eli Cohen, ameagiza Shirika la Umeme la Israel (IEC) kusitisha mara moja usambazaji wa umeme kwa Ukanda wa Gaza, katika kile kinachoonekana kuwa ni juhudi za kuongeza shinikizo kwa eneo hilo, ambapo mateka 59 waliotekwa kutoka Israel bado...
Wanaukumbi.
Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha kuwa wamekutana mara kadhaa na mjumbe maalum wa Marekani anayehusika na masuala ya mateka Adam...
Wanakumbi.
Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida:
Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti za mateka wafuatao wa Kizayuni usiku huu:
1- Itzahi Idan
2- Itzik Al-Jar yake
3- Ohad Yahalomi
4-...
Mzuka wana jamvi...
Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.
RAIS AU MFALME KUFANYWA MATEKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mnaweza kumlaumu Rais au Mfalme wa watu. Mnaweza kumzodoa Mtawala wa watu. Mnaweza kumchukia Kiongozi wa watu. Maskini! Kumbe mwenzenu ametekwa kitambo! Ni mateka!
Unajua kuna watu wanafikiri ili uwe mateka unatakiwa kufungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.