matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Matapeli wa zamani wa Kyela, Maskita na Mwamkenja walipotelea wapi?

    Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia Hawa watu walitikisa mno Kyela kwa utapeli Wao Je walikufa Au...
  2. baz kaiza

    Hates still never lecover. Wauza Ngada, Vyeti feki, Watumishi hewa ,Mafisadi Wafanyakazi wazembe, Matapeli. JPM aliwanyoosha

    JPM r.i.p. Ulinyoosha watumishi hewa , Wezi wa rasilimali za nchi, Mafisadi, Wauza madawa ya kulevya wenye vyeti feki , Matapeli wazee wa short cut. Hawa wote walikiona cha moto kipindi chako ndo ulituonyesha wanasiasa wengi wana bei wananunulika kama nyaya sokoni kwa hiyo wasitudanganye kama...
  3. Scared

    Hivi mbona M-Wekeza gawio ninalopata haliendeni na kiwango changu, mwezi uliopita Nina 19 M wakaniwekea gawio la 158000

    Hawa jamaa mbona kama wanawizi Fulani mwanzoni walikua wanatoa gawio la kueleweka Sasa hivi kama Kuna utapeli Fulani hivi yaani million 19 gawio liwe 158000 pumbavu sana Hawa jamaa niliweka mwaka Jana mwezi wa tatu mwanzo walikua wanatoa vizuri hii miezi ya mwisho wameshusha gawio
  4. Yoda

    Ilikuaje Trump na Elon Musk matapeli wakubwa zaidi kuwahi kutokea katika siasa za Marekani kuaminiwa na raia wengi?!

    Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini! Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani...
  5. Tronics guru

    Matapeli wamevamia JF wafanyabiashara wezangu humu tuchukue tahadhari!!

    Humu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana. Hawa wa weka mzigo hapa ,njoo uchukue pesa pale wamekua wa kutosha asee. Mara ooh boda ninunulie umeme unavyokuja nitakulipa pamoja na hela ya mzigo,Wanatutia hasara za delivery sana tu. Sasa hii ya leo ni kali,mtu kanicheki yupo Maili moja...
  6. W

    Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  7. Davidmmarista

    Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli. Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini...
  8. Tlaatlaah

    Digital Sadism Contents Creators wa kisiasa wamekata pumzi baada ya kubainika kua ni matapeli wa pesa kimtandao, kisaikolojia, na wapenda fujo

    Nguvu na umaarufu wa uzushi, uchochezi na porojo zao za kujaribu kuwafarakanisha wananchi na serikali yao vimekosa nguvu kabisa sasa, hasa baada ya waTanzania wengi kubaini kwamba wanarubuniwa, wanatumika na kutapeliwa kisaikolojia kwa kwa kuuziwa hadidhi, picha na video za uongo zenye maudhui...
  9. Slobodan Mirosovich

    Jinsi matapeli mamboleo hutumia mitandao na saikolojia kuliza watu

    Matapeli wa kisasa ni wahandisi wa akili (psychological engineers) au manipulators . Hawaji kuiba pesa zako mara moja; badala yake, wanajenga mazingira ambayo wewe mwenyewe utawapa pesa kwa hiari yako. Hivi ndivyo wanavyotumia saikolojia kumnasa mtu: 1. Kukuvutia na Maisha ya Ndoto zako (The...
  10. BIG BROTHER ALEX

    Mama Kanumba na matapeli wa freemason

    Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake. Nani alaiwe kwa...
  11. Chizi Maarifa

    Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  12. Mshana Jr

    Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
  13. O

    Hawa matapeli huwa mbinu zao ni zilezile?

    Meseji hii kanitumia INBOX: Hello darling. How're you doing?, my love i must tell you, I'm no longer happy here . My life has been miserable here for the last 3 years. I am a beautiful woman but I am not married and every day I get older. Please, my love, I want you to help me finish my...
  14. mwehu ndama

    Nilikuwa wa kwanza kumkataa Folz na Adambwile ni matapeli

    Mlinipinga sana kuhusu huu ukweli. Ila kadri siku zinavyoenda wote mtaungana na mimi. Naujua mpira kuliko navyozijua nyuchi zangu!
  15. OleWako

    Hivi Vodacom mnatuonaje kwa huu utapeli mnaojaribu kufanyia?

    Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika. Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔 Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha! Utaratibu huu ni halali...
  16. H

    DOKEZO M-Kopa ni matapeli, washughulikiwe

    Hawa jamaa wamejaa kwenye mitandao na polisi wanawaangalia tu wakifanya utapeli ambapo wanatumia namba za simu tofauti kupokea pesa kisha kubadili mawasiliano kila mara. Wanafanya kazi kwa majina tofauti huku wakitumia tin,leseni na hati ya usajiri wa kampuni kwa majina tofauti. Wanajiita...
  17. P

    KANISA KINONDONI (KRC) LINATETEA MATAPELI

    Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo...
  18. Pdidy

    Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  19. DR HAYA LAND

    Hivi hawa matapeli wanaotapeli watu huwa hawaogopi karma ?

    Huwa najiuliza matapeli wanaoiba na kutapeli WATU huwa hawaogopi karma ?
  20. Kimbesa11

    Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
Back
Top Bottom