Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza kwasababu ya matangazo haya!
Nilikuwa nimetafuta kila njia ya kuuondoa lakini imeshindikana, ilikuwa...