matamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Chukua kadi ya Chadema sasa hivi kwani yajayo ni matamu!

    Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
  2. African Melki Updates

    Zawadi ya maneno matamu. Maalumu kwa ajili ya mwanamke bora wa Kiafrika

    Zawadi ya maneno matamu. Maalumu kwa ajili ya mwanamke bora asilia wa Kiafrika "Mama Africa", ujumbe maalumu kwenda kwa mwanamke asilia wa kiafrika, mwenye tabasamu angavu, uso wenye nuru, sauti ya upole pamoja na rangi asilia, anayeteka utayari na hisia za wanaume, mwenye mapenzi ya dhati pasi...
  3. Wadiz

    Una maisha matamu ukiwa na mpenzi mtamu au unateseka?

    Japo ni kama nadharia tu ila underground ni kama ndio uhalisia wa maisha, once you get good and satisfying sex, life becomes nutritious, you see plan, growth, progress and success unto you. Eyes, heart, feelings, trust, beliefs plus the power of the universe. Maisha matamu + mapenzi matamu...
  4. R

    Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  5. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  6. Chachu Ombara

    Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu

    Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu. Mkoani kwetu yanaitwa 'Ebitomasi' yapo ya aina mbili, Mekundu na njano. Unaweza kula yakiwa yamepikwa kwenye matoke au kula ambayo hayajapikwa.
  7. Wadiz

    Maisha matamu chukua chako mapema nimemfaulisha Mwanamke

    Amani iwe nanyi nyote wana JF, Ama kweli katika maisha ni kufa kufaana, nikiwa nimetulia sehemu mitaa ya Dodoma Jiji, nakula kuku na kutuliza Koo kwa flying fish za moto, nikiwa na mtoto wa kisandawe pembeni, akaja mdau mmoja katupia suti kali sana na glass nyeusi. Akanistua na kuniomba...
  8. Wadiz

    Maisha matamu, tongoza anayeonesha dalili za kukuelewa achana na mamba uishi maisha marefu

    Salaam JF, Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe. Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe. Wadiz
  9. Nakadori

    Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

    Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu.... Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana.... 1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa, 2. Hawataki makuu wao...
  10. Chawa wa lumumbashi

    Unique 🌼 maua matamu sana,usithubutu kuyaonja utaliwa

    Usithubutu kunusa maua special ni hatari aisee ni matamu sana na yanavutia haswa ukijali kuyaonja nakuapia hauta chomoka na kama una mke hautarudi kwenu mimi yamenikuta unique 💐 ni maua matamu sana Yana hips tamu,shimo tamu na mbususu tamu kama mafuta ya alizeti kutoka shelui au kiomboi tena...
  11. Unique Flower

    Mapenzi matamu sana

    Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee. Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano. Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio...
  12. B

    Tupiganie Katiba Mpya: Madaraka Matamu Wachonga Mzinga ni kama Wote

    Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025. Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu. Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
  13. Poa 2

    Utamu wa vyombo vya Dola kuonjeshwa ladha ya madaraka matamu ya kisiasa

    Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake. Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza. Wote Ni mashahidi katika awamu ya tano tuliona jinsi vyombo vya Dola hasa tiss na polisi vilivyotumika kumlinda RAISI magufuli hasa...
  14. Yudatade Edesi Shayo

    Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa 1. Wanajua mapenzi na ni wasafi wa kiwango cha SGR. Unakula tunda la grade...
Back
Top Bottom