Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui kufa andamana, mara ooh inabidi uandae kabisa kaburi lako, mara hakuna cha nywinywinywi. Chalamila...
Salaam!
Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika.
Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji huyo anapoitaka Serikali iwachukulie hatua wote waliohusika na mauaji ya October 29.
Serikali huja...
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga
Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:
"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
Nauliza tu kwa amani.
TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua.
2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
Naona kila mmoja wa polisi anatoa vitisho kama vya 29.10.
Kwahiyo mnajiandaa na genocide nyingine?
Cc Larry Madowo elekeza satellite zote Tanzania nzima for uncontroverted evidence
Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome.
Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote za kiutendaji kuelekea katika kuiponya nchi.
Hivyo haya matamko kuanzia aliyesimikwa uwaziri mkuu...
Moja kwa moja.
Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️
1. Iraq chini ya...
Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya kiusalama nchini na kuchukuwa hatua kwa ukiukwaji wowote ule wa sheria za nchi.
Aidha, kumekuwepo na makundi mbalimbali, watu binafsi ambao wameendelea kujitokeza na kutoa matamko yenye kuashiria uvunjifu wa amani na kujenga chuki...
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
Haya matamko yanaleta taharuki maana si JWTZ, polisi, mawaziri na vyawa wameshasema hakuna maandamano? Sasa kuendelea kusema kitu ambacho hakitafanyika na hakipo kunanikosesha amani binafsi.
Kwanini matamko yasikomeshwe ili sasa tujiandae na hiyo tarehe 29? Kwani kuna hofu gani wakati kitu...
Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya.
Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
Mara nyingi, tumekuwa tukisikia taasisi za kijamii, wanaharakati, wananchi nk wakiilaani nchi fulani au viongozi wa kisiasa kwa madai kwamba wamekosea au kutenda jambo linalowaletea maumivu.
Wakati mwingine watu wenye dini nao husikika wakitamka maneno ya laana dhidi ya wale wanaoona...
Mandela nyakati fulani aliwahi sema Makabulu lugha walio kuwa wanaielewa vyema ilikuwa ni ya Lisasi tu. Hizo Lugha zingine walikuwa hawazielewi na zilikuwa haziwaingii kabisa.
Na Wazulu walivyo kuwa wanapambana na Makabulu kwa Bunduki angalau kuna wakati Makabulu walikuwa wanaelewa lugha hio...
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.