matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Bill Gates na Mark Zuckbereg walikuwa matajiri walipoamua kuacha masomo, kijana usifuate kila unachoambiwa na motivational speakers, Utaangukia pua.

    Mark Zuckbereg - Facebook, Whatsapp, Instagram, n.k. Bill Gates - Microsoft Tayari walikuwa wametengeneza pesa, wana wafadhili wa projects zao...Wewe kijana unaetaka kuacha masomo kitu pekee unachomiliki kilaptop na simu unataka kuwaiga fikiria mara mbili, do your research. Sio hivyo tu, hawa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri hualikana kwenye fursa ila maskini hualikana kwenye majungu 😔

    MASKINI ATABAKI KUWA MASKINI TU KAMA ATAENDELEA KUWA NA MARAFIKI MASKINI 😔 Hii sio makala nzuri kwa maskini ambao wameridhika na hali hiyo hivyo kama umeridhika na umaskini basi acha kabisa kusoma ila kama upo kwenye vita ya kujikwamua kama mimi basi inawezekana ikawa makala yenye mwanzo mpya...
  3. Babyloni

    JamiiForums Tanzania Siri nne za mafanikio 2024: Vitu ambavyo matajiri hawawezi kukwambia

    Ndugu Msomaji, Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio. Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok. Kitu Ambacho Kilibadilisha Kabisa Mwelekeo wa Maisha Yangu Mpaka Leo. Dan Lok Alifanya Utafiti wa Kisiri na Akagundua Kwamba...
  4. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

    Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums. lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ewe mnyonge, kuwachukia matajiri hakukupi unafuu wa maisha

    Wengi wao wanaotamani utawala kama wa mwendazake urudi tena kwa mara nyingine ni wale waliokuwa wamebatizwa jina la "wanyonge"😀😀😀 Na hawa wengi wao wanawachukia sana matajiri, hutamani kuona tajiri akifirisika na kuwa kama wao. Na wengi wao wanatamani utawala kama ule wa mwendazake ili matajiri...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
  8. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Matajiri 17 wanaotikisa afrika

    1. Aliko Dangote Net worth: $13.9 billion Net worth in 2023: $13.5 billion Origin of wealth: Cement and Sugar Age: 66 Country: Nigeria 2. Johann Rupert and family Net worth: $10.1 billion Rank in 2023: 2 Net worth in 2023: $10.7 billion Origin of wealth: Luxury goods Age: 73 Country: South...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini masikini wana chuki na matajiri?

    Kisaikolojia ikoje? Unakuta mtu amepambana kivyake Sasa amejipata. Kipindi anapambana kutafuta mtaji, connection na ramani, watu wanakuona tu. Sasa ukianza kuinuka kupata japo kidogo uhakika wa watoto kwenda shule vita inainuka. Utaitwa jambazi. Utaitwa muuza madawa ya kulevya. Utaitwa shoga...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wanaoishi maisha simple (kuvaa, kuzungumza, kimuonekano, n.k) wanaheshimika zaidi kwenye jamii ?

    Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kwanini matajiri wa Tanzania wanaogopa kumiliki ndege binafsi

    Matajiri wetu TZ wanaangalia hasara kwanza itakayotokea, halafu ndege ina umri wa kutumika. Rick Ross ndege yake imezingua
  13. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nimegundua matajiri wengi hapa Tanzania hawajasoma

    Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tulibomoa nyumba za wananchi Kimara -Mbezi ili matajiri wajenge vituo vya mafuta? Je, hivi vituo vingi kiasi hiki vinapataje kibali?

    Natoka Mwanza, kutoka Kibaha hadi Kimara nimeona tayari vituo zaidi ya Nane vya Mafuta vimejengwa kwenye hifadhi ya barabara. Ninaamini hivi vituo havikuwepo kwenye ramani ya barabara kwa wingi huu. Lakini pia naamini haya maeneo hayakutengwa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya mafuta lakini kwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mabilionea wa Israel yaongezeka na kufikia 42

    Kupanda kwa idadi ya Waisraeli walioangaziwa kwenye orodha ya Forbes kumechangiwa zaidi na kuendelea kukua kwa tasnia ya teknolojia ya hali ya juu ya Israeli. Waisraeli 42 waliovunja rekodi walijumuishwa katika orodha ya Forbes Mabilionea Duniani kwa mwaka 2024, iliyochapishwa mapema wiki hii...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

    Orodha ya wanawake wenye vibunda Africa. Top 10 Richest African Women: 1. Isabel dos Santos(🇦🇴) - $2.2 Billion 2. Folorunso Alakija(🇳🇬) - $1 Billion 3. Ngina Kenyatta (🇰🇪) - $1 Billion 4. Hajia Bola Shagaya (🇳🇬) - $800M 5. Wendy Appelbaum (🇿🇦) - $600M 6. Yvonne Ike (🇳🇬) - $600M 7. Sharon...
  17. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Matajiri tujifunze kwa YAHOO

    Sio kisa kimoja kwa kwa matijiri hata facebook yenyewe ilitokea kwenye whatsapp. miaka ya 90 kampuni ya yahoo ilikuwa ndio namba moja kama unavyo tumia google na JF leo hapa jukwaani. Mwaka 1998 kutokana kuwa ndio kampuni kubwa tajiri,Google wakati inaanza ilikataliwa kununuliwa na Yahoo kwa...
  18. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Habari wanajukwaa, Heri ya Kwaresma kwa ndugu zangu wakristo. Ramadham Kareem kwa ndugu zangu waislam. Kama ilivyo kwa wengi, katika harakati za upambanaji unajikuta una team up na wadau kadhaa katika kujaribu kuona ni namna gani mnaweza mkayafikia malengo kwa ukubwa, haraka na unafuu. BAsi...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Masikini wana uwezekano Mkubwa wa kutoa Rushwa kupata huduma za msingi kuliko matajiri

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Shirika la Kupinga Rushwa na Ufisadi la Transparency wa Mwaka 2013 uliohusisha kuangazia mitazamo mbalimbali ya watu kuhusu Rushwa, watu wenye hali duni ya Kiuchumi na wanakabiliwa na athari za rushwa kwenye huduma za Umma kwa kiwango kikubwa zaidi. Utafiti...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
Back
Top Bottom