matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wakuu wasaidizi jifunzeni kuzika na watu wa kawaida msisubiri matajiri hata wa kawaida anawasubiria

    Ushauri tu Kwenu Maaskofu wakuu Wapendwa wasaidizi wa maaskofu Anzeni vikao vya kuambiana Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii Mnaposikia misiba ya waumini jifunzeni kuhudhuriq msisubiri kusikia tajwa hapo juu ndio tunakuja kuwaonq Flan Kuna baadhi ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Matajiri wetu na Wanasiasa wanatuangusha kwa kukosa maono

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya watanzania yanazorota kwasababu ya ushamba wa matajiri na ukosefu wa maono toka kwa Wanasiasa

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Majeraha kumkosesha mamilioni ya Waarabu Neymar Jr, Al-Hilal kumvunjia mkataba mwezi Januari

    Taarifa kutoka tovuti ya michezo ya Brazil, UOL, zinaeleza kuwa klabu ya Saudi Arabia, Al-Hilal, inafikiria kuvunja mkataba wa Neymar Jr. mapema mwezi Januari. Uamuzi huu unachangiwa na majeraha yanayomkabili Neymar, ambayo yamekuwa yakimzuia kucheza mara kwa mara, akifanikiwa kucheza mechi...
  9. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

    Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
  10. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kauli za kawaida za matajiri bongo huwa zina uzito mkubwa sana?

    Yani bongo Tajiri akiongea mahali au akitoa ushauri wake hata kama maneno yake ni ya kawaida sana tu anaonekana kama mwanafilosofia au mwanauzoni hivi, Mfano mwingine tangu yule tajiri wa timu fulani anayesemekana hajui kuzungumza aje na msemo wa "Yanga bingwa" sasa kila mtu mjini ni Yanga...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

    Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa. Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila...
  13. Cordy bnei shirk

    JamiiForums Tanzania Sio utamaduni mzuri kushabikia utajiri na matajiri bila kujali wameupata vipi

    Utandawazi tunauvulia nguo na kuuoga kisawasawa bila kuzingatia misingi. Leo hii wananchi wengi wanapendezwa,kuhamasishwa,kutamani utajiri pamoja na matajiri hasa kwenye mali za kujionesha na kuona kila mtu anastahili kufika hapo Andiko langu limetokana na kuona video ya tajiri flani hivi mtu...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini matajiri wengi wa Dunia wanatoka Marekani?

    Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani. Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi. Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha...
  15. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  16. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Misiba ya matajiri vs misiba ya masikini

    Ndugu zangu.. Kumekua na tabia mbaya ya watu kuhudhuria kwenye misiba kwa kubagua kutokana na itikadi zao na hali ya kiuchumi ya marehemu au familia na ukoo wa harehemu husika kama tunavyojionea huko kwenye jamii zetu. Ndugu utakuta kwenye misiba ya familia zinazojiweza kiuchumi watu...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha matajiri kuanza kuabudiwa na raia wengine?

    Katika jamii yoyote huwa kuna utofauti wa vipato kiuchumi kwa makundi mbalimbali ya watu. Sio jambo jipya kwamba kote duniani na hata hata bongo Wapo watu masikini kabisa, wa kipato cha kawaida, kati, matajiri na matajiri waliopitiliza. Jipya la sasa ni ibada kwa matajiri, watu wamekuwa...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike na magari yao ya kifahari! Ata Matajiri na Mastar wana “Daily Drivers”!

    Iwe Tanzania na Duniani, tumezoea kuona msanii fulani amenunua gari fulani la kifahari. Magari mengi ya kifahari hayapo practical kwa matumizi ya kila siku. Sasa hapa ndio daily driver cars zinapoingia, izi za kuendesha kila siku. Mfano: Unakuta Diamond Platnumz amenunua Rolls Royce lakini...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
Back
Top Bottom