Napangisha nyumba maendeo mbalimbali Dar

Dumejr

Member
Feb 16, 2021
56
48
Vyumba vinapangishwa vyumba vipo viwili master pamoja na sebule bei 250k ni chumba cha kisasa kabisaa vyumba eneo lake lipo mbezi beach tangibovu ni dakika 20 au 15 kwa kutembea kutoka stendi nicheki kupitia 0658820041
 
20230510_101209.jpg
 
Haujaeleweka.

Nyumba ya vyumba vingapi?!

Vipi umeme inajitegemea au wa kushare?!

Mwenye nyumba yupo hapo au hayupo?

Kodi inalipiwa miezi mingapi kwa kuanzia ?

Umeandika tangazo bila details muhimu unahisi kila mtu anapajua hapo.
 
Umeme unajitegemea, vyumba viwili ni sebule pamoja na master, mwenye nyumba anaishi hapo hapo ila kwenye nyumba yake nyingine kubwa tofauti na nyumba hio kodi inalipwa kuanzia miezi sita . Asante kwa kunikumbusha mkuu pia natumai nimejibu maswali ya wengi
 
PIcha hizo wapendwa ila mwenye nyumba ameniambia mteja akipatikana haraka urekebishaji kama skimmimg, upakaji wa rangi unarekebishwa kwa haraka iwezekanavyo ndani ya siku moja
 
Attachments

  • 20230510_101427.jpg
    20230510_101427.jpg
    1.2 MB · Views: 12
  • 20230510_101219.jpg
    20230510_101219.jpg
    804.1 KB · Views: 13
  • 20230510_101427.jpg
    20230510_101427.jpg
    1.2 MB · Views: 10
Kwani ungesema unakikodisha kwa buku kwa siku ungepungukiwa nini....!??
 
Kwani ungesema unakikodisha kwa buku kwa siku ungepungukiwa nini....!??
Usimpangie mtu jinsi mambo yake anafovanya kama hauna uhitaji unaweza ukaa kimya au usingepita hapa kwa hiyo boss mind your own business.
 
Usimpangie mtu jinsi mambo yake anafovanya kama hauna uhitaji unaweza ukaa kimya au usingepita hapa kwa hiyo boss mind your own business.

Kwa majibu yako huwezi pata mteja humu!
Hicho hata elfu 10 hupati labda uuze screpa tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom