masoud kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu. '...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.' '....ni muda sasa...
  3. Mchokoo

    JamiiForums Tanzania Tumuunge mkono mwanasayansi Masoud Kipanya

    Kwa moyo wa dhati najivunia hiki ulichokifanya ndugu yangu. Ni mwanzo mzuri kuliko awali ya magari mengi yaliyopo sasa duniani Ninachokiomba kwa watanzania wenzangu; ni tumuunge mkono mwenzetu ili afanikishe maono yake. Gari la Masoud siyo kwa ajili yake binafsi. Ni kwa faida ya taifa letu na...
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Takwimu na Masoud Kipanya

    Kwa maana hii mtalii akienda Kilimanjaro, Mikumi nk wanahesabika ni zaidi ya mtalii mmoja.
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka

    “Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa" "Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa Kipanya amekata kamba kwahiyo anakula bila kipimo

    Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana. Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe. Maendeleo hayana vyama!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya una akili nyingi

    Huyu jamaa ana akili nyingi sana.IQ yake si ya kawaida.
  8. Nas Jr

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Masoud kipanya na Aliyosema leo Samia

    Kuna uhusiano wa alichofanya Samia na huu ujumbe wa Masoud?
  9. elmagnifico

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya huwa anasema mengi kwa picha au maneno machache

    Fact
  10. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Ni lini Masoud Kipanya atapewa PhD ya Heshima kwa kazi anazozifanya?

    Navishangaa vyuo vikuu vya Tanzania hasa vyenye kutoa shahada mbalimbali za zinazohusiana na sanaa kutokuona mchango wa huyu mwamba. Masoud amekua akitoa kazi zenye kufikirisha na kutumia akili kwa miaka mingi sana. Binafsi toka nimfahamu ni zaidi ya miaka ishirini sasa. Natoa wito kwa vyuo...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

    Nimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe. Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu. USSR
  12. willpower

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Mtazamo wa Kisiasa na Falsafa ya Maisha

    Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000. Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika mambo mbalimbali, vijana wengi kumbukumbu yao kwa Masoud Kipanya ni kipindi cha Chuchu ambacho...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tukio la kurushiana risasi kati ya Polisi na Mtu asiejulikana: Nasubiri katuni ya Masoud Kipanya

    Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana. Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
  14. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya na taswira ya viongozi wetu wabadhirifu

    Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania . Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari. Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kati ya Maulidi Kitenge na Masoud Kipanya nani zaidi kwenye yafuatayo...

    1. Ukwasi 2. Ubontaun 3. Busara 4. Eposure 5. English Kali 6. Kampani pr na washkaji Maulid Kitenge Masoud Kipanya
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anamuuliza Mohamed Said: Abdul Sykes ni nani? Tazama sehemu ya kwanza mpaka ya nne

  17. Political stability

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anamaanisha nini hapa?

    Alikuwa ana maana gani, kwenye hii cartoon Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mimi Masudi Kipanya na safari yetu ya miaka 100

    KUTOKA DHUHR HADI ALASIRI NA MASUDI ''MTU SPECIAL'' KIPANYA Leo ilikuwa siku makhsusi yaani special sana kwangu kwa kuwa katika chumba kimoja na Masudi Kipanya na vijana wake ''sharp'' wa Clouds Plus. Hiki kwa hakika si chumba kwa maana ya chumba kama tulivyozoea bali ni Maktaba ya Elite...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi. UPDATE: JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi...
Back
Top Bottom