maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania. Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi...
  2. M

    GE2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

    Kwenu Masheikh na wahadhiri wetu Nawasalimien Assalam Aleikum. Jana mmefanya press conference, mmezungumza na kutoa kauli yenu kuhusu hatua ya Sheikh Ponda kusimama na kuwataka Waislamu na wananchi wamchague mheshimiwa Lissu katika uchaguzi huu. Mmepinga vikali kauli yake kuwa Waislamu...
  3. D

    Serikali ya awamu ya tano imeshughulikia maslahi ya Wananchi

    Maoni na ushauri wangu kwa wananchi ni kuwa pamoja na Ukinzani wa hoja potofu kuwa Serikali ya Dr. Magufuli imefanya mambo mengi yanyohusu maslahi ya watu. Kwa mfano tumeshuhudia Rais na mawaziri wakitatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Lakini pia miradi iliyoanzishwa imeelekezwa kwenye...
  4. Hivi Job Ndugai huchaguliwa kuwa Mbunge kwa maslahi ya nani?!

    Kwa members wanaoijua wilaya ya Kongwa ikiwemo CCM mtakubaliana na mimi mia kwa mia. Kwa wale ambao hamjawahi kufika huku basi pateni simulizi hapa. Nimezuru wilaya ya Kongwa leo na kujionea hali halisi ya Wilaya hii. Hali hii imenitia simanzi sana lakini baadae nikajisemea hivi namuonea...
  5. Kwa hili la kubadili Cheti kuwa Stashahada kwa maslahi ya Kisiasa, Hapa Wizara ya Elimu imeboronga kabisa

    WIZARA YA ELIMU IMEPWAYA KUFUTA MAFUNZO NGAZI YA CHETI NA KUIMARISHA DIPLOMA kwa MASLAHI YA KISIASA. Ni Tanzania Pekee tu ndio isio jua umhimu wa NGAZI za Cheti na kukimbilia Diploma. UMHIMU WA NGAZI YA CHETI. Tulipofika elimu zote za NGAZI ya vyeti zitafutwa na kubaki na NGAZI ya Diploma...
  6. GE2020 NEC: Kila Chama cha Siasa kimeruhusiwa kuweka wakala kwenye kila kituo ili kulinda maslahi ya Chama na Wagombea

    Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo. Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao...
  7. GE2020 Profesa Lipumba: Nichagueni niboreshe maslahi ya walimu

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA" SHINYANGA Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha maslahi ya walimu kwa kuwa walimu ndio wanaotengeneza rasilimali watu wenye tija wanaoweza kuiwezesha...
  8. Ubunge unatafutwa kwa hali na mali, Kuna maslahi si kuwa taarishi wa wananchi tu

  9. Heko nyingine ya Rais Magufuli kwenye kupigania maslahi ya Tanzania: Kisa cha bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanzania

    HEKO NYINGINE YA RAIS MAGUFULI KWENYE KUPIGANIA MASLAHI YA TANZANIA: KISA CHA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA, UGANDA HADI TANZANIA Na Bwanku M Bwanku Jumapili Septemba 13 mwaka huu tulishuhudia tukio kubwa la kihistoria la kiuchumi, ustawi wa watu, undugu na maendeleo ya nchi yetu kwa kushuhudia...
  10. T

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Na Bwanku M Bwanku Hekaheka na pilika za kampeni zinaendelea kutimua vumbi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi kwa wagombea wa Urais, wabunge na madiwani kunadi Sera na Ilani zao wanazoenda kuzitekeleza kwa miaka mitano ijayo kama wananchi wakiwapa ridhaa yao. Kwa bahati nzuri sana nimeendelea...
  11. D

    Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

    Mjadala na propoganda ya mishahara kwa watumishi wa umma inakuzwa mno na Wapinzani kama mtaji wao kwenye kampeni hizi bila kuzingatia hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano kuhusu uboreshaji wa maslahi kwa Watumishi wa Umma. Ieleweke kuwa mishahara ni sehemu tu ya maslahi katika...
  12. Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

    Tanzanian authorities attempt to silence activists on Bulyanhulu case 17 JANUARY 2002 Tanzanian authorities have arrested Rugemeleza Nshala, President of the Lawyers Environmental Action Team (LEAT), and raided the house of another LEAT lawyer, Tundu Lissu in connection with their...
  13. Katika maslahi mapana ya taifa ni bora Serikali ikawekeza kwenye rasilimali watu au kwenye mali (miradi) za/ya Serikali?

    Swali langu limetokana na awamu zote za serikali za Tanzania kwanzia Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya sasa. Serikali zetu zimeshindwa kuwekeza kwenye wananchi wake, hususa kwenye tasnia ya elimu (Aina ya elimu, mitahara ya elimu, mifumo ya elimu, miundo mbinu ya elimu). Hali hii kupelekea...
  14. GE2020 Kuna watu wanajua vyama vyao vikichaguliwa lazima watapata maslahi

    Habari wakuu? Ipo hivi kelele zote hizi za upinzani sijui CHADEMA au ACT-Wazalendo pote huko kuna watu wanajua kabisa hiki chama kikiingia madarakani mmoja wapo wagombea wao akapata Urais basi lazima anajua kuna cheo lazima atapata, Muangalie mtu kama Sijui wanamwita shangazi jana anaonekana...
  15. GE2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

    Habari wakuu! Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner. Hili ninaloliandika si tetesi na halina ukweli direct bali ni forecast yangu tu. Huu muda mfupi uliobaki kabla ya Uchaguzi mkuu...
  16. The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru

    The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru. Ninakushauri uanze kwa kusoma thread hii kwanza: Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za...
  17. D

    Tupime thamani ya pesa hapa (Value for Money) Je, Maslahi ya Mbunge yanaakisi hali halisi ya mwananchi wa kawaida?

    MASLAHI YA MBUNGE: - Mshahara: TZS 3.8M kwa mwezi - Shangingi la kutembelea (wanakopeshwa bei chee) - Posho ya mwezi: TZS 8M kwa mwezi - Posho ya Kikao: TZS 240K kwa siku - Posho kujikimu: TZS 120K kwa siku - Pensheni: TZS 240M baada ya miaka mitano - Bima ya afya ya daraja la kwanza kwako na...
  18. Serikali ihamishie maslahi ya wabunge kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali. Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge. Napendekeza Ili kuwapiga chenga za...
  19. Ya Francis Nanai na ukachero bobevu wa maslahi ya chama uliopo na utakaoendelea kuwepo ndani ya CCM

    Wengi kama si wote bado hawaelewi ni kwa sababu gani hasa vyama vikongwe kama CCM vinaendelea kubaki madarakani. Jibu ni moja, uimara na ubora wao katika nyanja ya mikakati imara na ubobevu wao katika suala la ukachero chanya uhusuo maisha ya CCM yao. Huo ndiyo msingi wa ukongwe wao na ni kweli...
  20. Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

    Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…