Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.
Nyota ndo ilikuwa inaanza kuwaka. Mara No Reform No Reaction mara Gwajimanization. Mara Iran vs Israel.
Dogo ana post programs zake kiroho safi, watu wana comment No reform no Reaction.
Halafu watu wazima kabisa.
Wabongo mnamfanyia mbaya huyu mtoto. Mlisha muaminisha mnampenda then...
Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake .
Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara.
Unapozungumzia Anasa means is endless shit .
So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote
He or...
Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
"Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na mwanadada machachari Ms Farhia Medley,
Pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Kafulila akirejelea ripoti ya...
Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi
"Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
Wanasema mwanadamu ametokana na udongo — lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
Habarini wana jamvi.
Sina mengi ya kuelezea ila hii issue ya BETTING tu, nimejitolea maeneo fulani na kwa mwezi naingiza 250K lakini nikiangalia maendeleo yangu tangu 2022 ni sawa na ziro, sina matumizi mengi kwa siku (hayazidi 4000/=) ila nimekuwa addicted na BETTING yaani siku haiishi bila...
Siri Iliyofichwa Kwenye Ramani Yako ya Kuzaliwa
Katika ulimwengu huu wa ajabu, uliojaa mwanga, giza, na misukosuko, kuna ukweli mmoja mkubwa ambao watu wengi hawajawahi kuambiwa
Hakuna binadamu hata mmoja aliyezaliwa masikini.
Masikini si hali ya fedha mfukoni. Masikini ni hali ya kutokujua...
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.
Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .
hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".
Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.
Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.
DALILI ZA WAZI ZA UFUKARA NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO
Kwenye maisha unapoanza kufanikiwa kuna vitu huwa vinaonekana wazi kwamba maisha yako yamebadiliks hata kama wewe binafsi utaendelea kujifanya masikini.
Vivyo hivyo katika umasikini pia huwa kuna dalili za wazi kwamba mambo hayapo vizuri...
Wanaume tunajua,
Ukiwa na mwanamke ambaye hana malengo na wewe bali yupo Kwa maslahi yake,ni wazi hakupendi.
Ni rahisi mwanamke huyo kujenga na kuunda Mali zake binafsi Kwa majina yake,lakini ni rahisi pia kutokukushirikisha mambo mengi Kwa kimwili mpo wote ila kiroho hayupo na wewe.
Hata...
Habari wanajamvi.
Ukiwa unaishi Dar es salaam,halafu ukienda mikoani safari zako zinaishia mijini basi huwezi ukajua ya ndani kuhusu hali ya uchumi wa nchi hii.
Mimi shughuli zangu zinanifanya niwe natembelea sehemu za vijijini zaidi,basi ndugu zanguni maisha ni magumu na inatakiwa itolewe...
Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu...
Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO!
YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
Kuna mchungaji mmoja nilimuuliza KWA nini unapenda kutembelea Nyumba za MATAJIRI na Sio masikini akasema hata Yesu aliifanya hivyo. Mwingine Nigeria anashambuliwa KWA kutoa kauli kama hiyo.
Ikabidi nizame kwenye NENO kumchunguza Yesu. Nikagundua....
Yesu alipokutana na Tajiri Zakayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.