mashuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    MADAWATI MASHULENI

    Najua kanda ya kaskazini hasa Kilimanjaro suala la wanafunzi kukaa chini madarasani waliachana nalo takribani miaka 40 iliyopita Kama unafaham Shule ya msingi yenye hiyo changamoto ya wanafunzi kukaa chini, taja jina la shule, Kijiji, Kata, Wilaya na Mkoa iliyopo pengine inaweza kusaidika
  2. Jokate Mwegelo anatukosea sana kwa kuchagiza mimba mashuleni, adhibitiwe haraka!

    Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8. Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua...
  3. Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

    Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome...
  4. N

    Walimu Shule ya Msingi Chanika, acheni kuwafungia darasani watoto wasiotoa mchango wa chakula

    Katika hali isiyotarajiwa wanafunzi wameanza kupata shida mashuleni. Iko hivi, baada ya Serikali kutoa mwongozo kwa ajili ya watoto wetu kula chakula mashuleni hali imekuwa tofauti kabisa. Watoto wanalalamika kuwa chukula wanachopewa ni kibaya, wameenda mbali na kusema wakati mwingine kinakuwa...
  5. Elimu ya kuendesha duka la "mangi" itolewe mashuleni

    Bila shaka duka la mangi ndilo la pili kuajiri watanzaniw wengi baada ya kilimo. Karibu kila mtaa utakuta kuna maduka ya Mangi kuanzia mawili na kuendelea. Umbali wa dakika tano toka hapo ulipo kuna maduka ya mangi mangapi? Watu wengi sana nchi hii wanaendesha maisha kwa kutegemea duka la...
  6. Tukague vyakula wanavyolishwa watoto shuleni, hali niliyoiona ni mbaya sana!

    Vyakula wanavyopikiwa wanafunzi na vikundi fulani vyenye mafungamano na walimu wa shule sio salama kabisa! Tunaambiwa watoto kila siku watoe 1000 ya chakula, kwa mfano shule moja Chanika inawanafunzi 1800, wanafunzi 1500 wanakula shule na wengine wanaingia mchana. Kwa mantiki hiyo kila siku...
  7. R

    Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe ili kuboresha uelewa wa wanafunzi

    Twende haraka kwenye mada. Mama mwenye Upendo Kwa wanae, Yuko radhi ashinde njaa, ajinyime kununua kipande Cha kanga Ili mtoto wake apate kula chakula na kupata mahitaji muhimu, Watoto mashuleni katika shule za kata ni watoto wa Serikali wawapo mashuleni. Viongozi wengi wa juu waliopo sasa ni...
  8. Ni kwa kiasi gani tunaweza kupima ukweli wa historia inayofundishwa mashuleni?

    Wasalamu ndugu wana JF wote. Historia ni somo muhimu na lenye tija sana kwa kuzingatia ukweli kwamba historia inatunza kumbukumbu muhimu kwa taifa, Kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka vyuo vikuu somo hili limekuwa linawajengea wanafunzi , walimu na wanahistoria kwa ujumla uwezo wa kutoa hoja...
  9. software mashuleni

    Katika kutatua changamoto ya utunzaji wa "Data" na utengeneaji wa "Taarifa(Reports)" mbalimbali katika uendeshaji wa shughuli za kila siku shuleni, kutana na mfumo wa kidigitali unaofahamika kama "AcademiazSoft". Huu ni mfumo mahsusi kwa ajili ya taasisi za kielimu kama shule za msingi na...
  10. Naomba vitabu Kama "Rich dady poor dady " vifundishwe mashuleni ili Kupata wasomi smart .

    Ili kuiokoa Elimu yetu vitabu vinavyomjenga Mtu Kama kitabu Cha 50 cent hustler harder hustler smater vifundishwe mashuleni kwa ngazi zote Bila kusahu kitabu Cha Ricu "dady poor dady"
  11. C

    SoC03 Njia mbadala zinazoweza kusaidia tatizo la upungufu wa walimu mashuleni

    NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI. UTANGULIZI: Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
  12. SoC03 Tutokomeze majanga ya moto shuleni; Njia bora zaidi

    Ni kwa muda sasa,WATANZANIA tumekuwa tukipitia maumivu makali ya Kupoteza Ndugu zetu wapendwa kwa ajali za moto mara kwa mara mashuleni.. (picha kutoka JAMII FORUM) Lakini je? ni kwanini basi licha ya kutuumiza vikali kiasi hiki,majanga haya bado yameendelea kujirudia mara kwa...
  13. SoC03 Somo la kilimo lifundishwe kama somo linalojitegemea na la lazima mashuleni. [kilimo cha mazao na mifugo]

    UTANGULIZI: Elimu ni ujuzi, maarifa au utaalamu anaopata mtu kutoka kwa mtu, mashine au uzoefu kutoka katika mazingira aliyopitia. Hata hivyo elimu inaweza kuwa Rasmi au isiyo rasmi. Elimu rasmi ni aina ya elimu inayohusisha usajili wa wanafunzi na kuwaweka darasani kwaajili ya kujifunza kwa...
  14. K

    Majirani zetu na kufundisha kiswahili mashuleni

    Wana JF, Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao. Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto...
  15. Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

    Tumekuwa tukisikia migogoro ya mara kwa mara baina ya viongozi wa walimu kama vile Wakuu wa Shule, Waratibu Elimu, Maafisa Elimu nk, na Walimu, hii yote nikutokana kuwa either kiongozi ana Elimu ndogo kuliko anaye muongoza au mwenye Elimu kubwa ameachwa ameteuliwa mtu mwenye Elimu ndogo, aisee...
  16. C

    SoC03 Mabadiliko ya michezo mashuleni

    Michezo ni moja ya sekta muhimu duniani inatoa ajira kwa watu tofauti tofauti; wachezaji, makocha, wauza vifaa vya michezo na ajira nyingine nyingi kwenye michezo ambazo ziwezi kuzitaja zote Ili tuwe na sekta imara ya michezo yatupasa tuanze chini yaani mashuleni na kukuza vipaji toka wakiwa...
  17. NHIF na Toto Afya kadi mashuleni hakuna msukomo wa usajili

    Salaam, Mh. Ummy Mwalimu mwaka 2017 pale mnazi mmoja alizindua Toto Afya kadi kwa lengo la kusajili watoto 10m kati ya 25m walio kuwepo wakati huo ili kunusuru afya za watoto wetu kabla ya maradhi. Kampeni hii ili ishia kushindwa kwa kusajili watoto +240k ambao michango yao ilikuwa si zaidi ya...
  18. R

    SoC03 Watoto wafundishwe haya mashuleni kwa suluhisho la ajira

    Tatizo la ajira kwa vijana limekuwa moja kati ya matatizo makubwa sana yanayosumbua jamii zetu. Tatizo hili limekuwa chanzo cha matatizo mengine mengi kama vile uporaji (panya road), ulevi uliopindukia, umalaya, migogoro mbalimbali kwenye familia inayopelekea familia kuvunjika. Vijana wanaambiwa...
  19. Ni fedheha Serikali kujinasibu kukusanya bil 291 kupitia utalii huku ikichangisha raia maskini pesa na tozo kandamizi

    Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291? Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha kuhudumia mashule na kujenga matundu ya vyoo. Unajinasibu nini?
  20. B

    SoC03 Waraka kutoka mashuleni na vyuoni

    ( MDUDU WA AJABU ANAETESA ULIMWENGU SASA KAINGIA MASHULENI NA VYUONI ) Mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita anaejulikana kama Nathan, tulikutana mwezi uliopita wakati tumekutana mazungumzo yetu yalikuwa kuangalia namna wanafunzi na wanachuo wanavyoishi wakiwa shuleni na vyuoni, yeye nathani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…