mashuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAAJUN POET

    SoC01 Ukatili na Unyanyasaji wa Kingono kwa watoto na vijana: Madhara na jinsi ya kukabiliana na vitendo

    Makala hii ikufikie wewe Mzazi, Mlezi, Kaka, Dada na Ndugu wote ambao mnao wadogo zenu au watoto wenu ambao wapo mashuleni au Vyuoni. Na bado hujui kuhusiana na jambo kubwa na la hatari linalowasibu ambalo ni tishio kwa maadili yao, utu wao na maisha yao kwa ujumla. Nianze kwa kunukuu ya kuwa...
  2. Livingson1

    Somo la ujasiriamali mali lipewe kipaumbele mashuleni pamoja na vyuoni nchini Tanzania ili kupunguza changamoto za ajira kwa vijana

    Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
  3. Yohimbine

    Serikali ianzishe somo la ujasiriamali shuleni

    Habari za uzima wapendwa poleni na majukumu ya wiki nzima. Turudi kwenye mada yetu, hivi sasa ukiangalia kumekuwa na wimbi kubwa sana la wahitimu wanaomaliza masomo yao ya elimu ya juu lakini ufinyu wa ajira umekuwa mkubwa sana na kusababisha watu wengi kuwapo mtaani bila ya kuwa na shughuli...
  4. chiembe

    Je, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ataweza kusimamia vita ya ukimwi, mimba mashuleni, heshima kwa wanawake na kuitaka jamii iishi kwa maadili?

    Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke. Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe. Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
  5. Sky Eclat

    Elimu ya sanaa na ufundi shuleni irudishwe

    Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo. Shule zilikua na karakana, wavulana walifundishwa useremala (labda nimekosea) na uwashi. Hata ujenzi wa madarasa na...
  6. Jabman

    Naomba kufahamu ukweli kuhusu chanjo za kichocho na minyoo mashuleni

    Naombeni ukweli kutoka kwenu. Leo wanafunzi wameambiwa kwenda na chakula shuleni ili wakapewe dawa za minyoo na kichocho. Katika mijadala mingi Jana, watu wengi hawtaki watoto wao wapatiwe dawa hizi. Zaidi hata madaktari wamezuia watoto wao kwenda shuleni kupewa hizo dawa. Nipeni ukweli juu ya...
Back
Top Bottom