mashuka

Ngonidzashe Makusha (born 11 March 1987) is a Zimbabwean sprinter and long jumper. He is the national record holder over 100 m and Long Jump for Zimbabwe with 9.89 s (+1.3 m/s) and 8.40 m (0.0 m/s) respectively. Both performances achieved during the 2011 NCAA Division I Championships in Des Moines, Iowa where he completed the 100 m long jump double. Following the 2 gold medals victory, Makusha became one of the only four, now five, athletes to win the double (100 m & Long Jump) at the NCAA championships. The four others are DeHart Hubbard (1925), Jesse Owens (1935 & 1936), Carl Lewis (1981), and Jarrion Lawson (2016).In 2011, Makusha was named the men's winner of The Bowerman which is awarded to the top collegiate track & field athlete of the year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mashuka na foronya vinaficha mengi

    Jana ilikuwa siku ya wandwanao maandalizi yalikuwa mengi huko magetoni.. Hasa usafi kwa ajili ya maandalizi Shughuli ya usiku wa jana imewaacha wengi wakiwa hoi na uchovu mwingi na wengine muda huu wanaperuzi mitandaoni wakiwa bado vitandani Waliopata wageni wa kulala muda huu ndio wanapata...
  2. B

    Nauza mashuka classic polycotton

    Habarini za saiz watu wangu wa nguvu nawaletea shuka 2 foronya 4 polycotton size ni 7*8 kwa bei Nzuri kabsa ya 25,000 kwa mawasiliano 0612630936 popote Tanzania inakufikia karibuni sanaa
  3. PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili. Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
  4. Nauza mashuka orijino

    mambo vip wa dau Mlisema nisitegemee mshahara tu nitafute kazi ya kufanya nyingine kama sio kufungua cafe basi nibuni kitu kingine haya nimekuja na hili hapa bei 50k 0774078650 text us ukitukosa jaribu wasp Mkoani tuna tuma Foronya nne Hii Makubwa sana Ukubwa ni 8 kwa 8 Pure cotton Haya...
  5. V

    Mashuka ya cotton kutoka Thailand

    Habari wapendwa🖐️ Niko na mashuka mazuri ya kisasa nimewaletea THAILAND BED SHEET Size: 7/8 Material: Cotton Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: 27,000 TZS SHUKA NYEUPE AMBAZO ZINA MISTARI Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: 30,000 TZS SHUKA MISTARI (NEW DESIGN) Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: 30,000 TZS...
  6. V

    Mashuka ya cotton kutoka Thailand

    Habari wapendwa! 🖐️ Nina mashuka bora za kisasa kutoka Thailand, zinazotengenezwa kwa cotton ya ubora wa juu. Aina za mashuka na bei: 1. Thailand Bed Sheet Size: 7/8 Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: TZS 27,000 2. Shuka Nyeupe zenye Mistari Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: TZS 30,000 3. Shuka Pazia...
  7. Mashuka Mazuri

    Nauza mashuka size 7/7 ya Pamba Sifa zake 1.Shuka Mbili 2.Foronya Mbili 3. Tsh 25,000 nakuletea mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar. Kama upo Mkoani natuma au kama una ndugu/jamaa naweza kumpelekea. Namba yangu 0657438581 ipo pia WhatsApp. Karibuni
  8. MACHIMBO BORA YA MASHUKA NJE NA KARIAKOO NI YAPI?

    Wakuu naomba msaada kwa yeyote anaejua machimbo bora ya mashuka nje na kariakoo ni yapi? Maana huwa naskia tu mashuka ya Uganda, Taiwan, UK, Turkey Nk ila sijajua exactly ni wapi naweza pata tofauti na vitu vingine ambavyo ukihitaji unaenda kucheki Alibaba. Kwa wanaojua naombeni msaada wakuu
  9. Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  10. Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  11. L

    Nauza mashuka ya uzi

    .
  12. H

    Wapi nitapata mashuka ya mtumba ya kulenga

    Nina mtaji wa laki na nusu, naomba kujuzwa wapi wanauza mashuka ya mtumba kwa bei rahisi ninunue kwa lengo la kuja kuuza mtaani kwetu.
  13. Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

    Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri...
  14. B

    Wapi nitapata rangi za kuandika kwenye mashuka?

    Habari zenu wana jamvi? Ninataka kuandika bango kwenye shuka Mimi mwenyewe bila kupeleka kazi kwa fundi. Ninauliza ni wapi nitapata rangi maalumu kwa ajili ya kuandika kwenye mashuka? Nipo dsm. With much thanks in advance
  15. T

    Nauza mahitaji mbalimbali ya nyumbani

    Habari zenu maboss. Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table. vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k 🧳🛍️🛒 .Dar maeneo ya...
  16. C

    Tunauza mashuka, mapazia, zulia, neti, coffee table, pressure cooker, rice cooker, chapati maker, 🍽️ set na vingine vingi

    Habari zenu boss zangu. Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table, d, vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k 🧳🛍️🛒 .Dar maeneo...
  17. PreGE2025 Mbunge Santiel Kirumba agawa taulo za Kike, Mashuka na sukari zahanati ya Bulige katika Maadhimisho ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba ameongoza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akigawa taulo za kike na madaftari kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu, kugawa sabuni na sukari kwa wanawake wajane...
  18. PreGE2025 Mbunge Martha Mariki atoa mashuka 100 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Mashuka 100 Katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki kupitia Chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoa wa Katavi ametoa Shuka 100 kwaajili ya kuwasidia wagojwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi na Vituo vya afya...
  19. PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru Akabidhi Mashuka Yaliyotoka kwa Rais Samia Hospitali ya Gairo na Mafiga Morogoro

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MASHUKA YALIYOTOKA KWA RAIS SAMIA HOSPITALI YA GAIRO NA MAFIGA MKOANI MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 17 Februari, 2024 baada ya Bunge kuhitimishwa amefika Hospitali ya Wilaya ya Gairo na Mafiga zilizopo Mkoa wa...
  20. H

    Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…