Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka, ameachiwa jioni ya leo, Agosti 17, 2026 bila masharti yoyote.
Akizungumza na NipasheDigital, kwa njia ya simu muda mfupi uliopita, Wakili na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, William Maduhu, amesema Madeleka ameachiwa bila masharti na kwamba hana tuhuma...