mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Je huu ndiyo mwisho wa ubabe wa Marekani na kufutwa Mashariki ya kati?

    Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia huku Irani wakifaidika na Vita
  2. Je kuna raia wengine nje na watu wa africa mashariki wanao tumia JF??

    Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya?? Je kuna hap member nje na africa mashariki
  3. Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  4. M

    Yanayawakuta waarabu wa mashariki ya kati ni kutokana na haya

    Al-Ma'idah (5:51). Aya (tafsiri ya Kiswahili): “Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa walinzi (au washirika wa karibu wa ulinzi); wao ni walinzi wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu atakayewafanya kuwa walinzi wake basi huyo ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu...
  5. Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  6. A

    KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

    Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo. Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
  7. Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  8. H

    Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  9. Vita Mashariki ya Kati. US-Israel-Washirika dhidi ya Waajemi (Iran)

    Mashariki ya Kati yawaka moto Tulijadili suala la vita mashariki katika nyuzi tofauti. Kwa umuhimu wa tukio linaloendelea uzi huu utajadili kwa kina nini kimetokea, kinatokea na kitakachotokea siku za usoni Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kwa makusudi au kutoelewa au kuelewa nusu...
  10. Dini ndio chanzo cha unafiki Mashariki ya kati?

    There is something wrong somewhere! Watu wengi huangalia juu juu tuu. Shida kubwa duniani ni UNAFKI. Haswa unaotokana na imani. Imani ni kama kutu, inakula tuu! Kuna vitu vilipaswa kuisha. Kama fujo za Palestine na Israel. Lakini, dini na watu wa dini ndio fujo.. Palestine ISSUE" Fatah ndio...
  11. Marekani ipo harakati ya kuitengeneza Libya Nyengine Mashariki ya Kati.

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni Operation ya Marekani dhidi ya Iran katika harakati za kuondosha serikali inayoita ya Mkono wa Chuma,ambapo kwa taarifa imesema kuwa imefanikiwa pakubwa kwa wauwa viongozi wa juu(Maamuzi). Lakini binafsi naona hakutakuwa na Mshikamano ndani ya Irani endapo Wairani...
  12. ATCL yasitisha safari za Dubai mpaka watakapotangaza tena kutokana na kinachoendelea Mashariki ya Kati

    Wakuu, Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
  13. K

    Vita mpya mashariki ya kati

    Mnamo tarehe 28 Februari 2026 saa tatu asubuhi Israel imeshambulia Iran mjini Tehran wakiita ni shambulio la "pre emptive strike". Shambulio limepewa jina la "Operation Judah". Maeneo yaliyoshambuliwa ni makazi ya Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na kiongozi wa dini na kiongozi mkuu wa Iran...
  14. Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu Lakini pia tuwaombee watu...
  15. Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  16. Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

    Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa. Katika ugawaji huu wa Maeneo...
  17. M

    Mataifa ya Afrika mashariki yanahitaji mapinduzi ya kweli by any means necessary

    Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu. Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga? Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani? Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika...
  18. M

    Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  19. Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  20. Q

    Tanzania yatengwa kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayetembelea Afrika Mashariki.

    Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao. ========== U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…