mashariki ya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kwa mara nyingine diplomasia ya China yaleta utofauti Mashariki ya Kati

    Katika wiki za hivi karibuni China imefanya jambo kubwa la kidiplomasia kwa kuyawezesha makundi 14 ya kisiasa ya Palestina, kukaa kwenye meza ya duara na kujadili mustakbali wa uwakilishi wa watu wa Palestina, na makundi yote hasimu yamefikia maafikiano na kusaini makubaliano, yakiondoka Beijing...
  2. Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

    Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth. Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio hilo si kwa Houth pekee bali ni onyo kwa wote wenye uadui na Israel.Akaongeza kusema kuwa moto...
  3. Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

    Wanakumbi. MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa: "Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah" Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon...
  4. Yaliyojiri Mashariki ya kati

    The Israeli occupation army is moving its troops to the Lebanese border ahead of an increasingly likely ground invasion of southern Lebanon.
  5. Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Habari za muda huu. Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel - Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan...
  6. Kwanini Mashariki ya Kati ni eneo korofi lisilopata utulivu watu wanaishi ngumi mkononi?

    Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia kuna watu Mashariki ya wakati wamezinguana. Yani huwa hakuna kutulia, ukiachilia mbali mgogoro wa...
  7. Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordan imefunga matumizi ya anga lake kwa ndege za kiraia baada ya mfumo wa GPS kutokuwa sahihi. Nchi zingine ni Kuwait, Iraq, Syria, Bahrain
  8. Kagame nafsi yamsuta kwa anachokifanya Congo! Awatupia mpira nchi za Magharibi na Mashariki ya Kati

    Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa. Sikiliza hapa.
  9. Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati. "We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
  10. Nia ya kuwapiga Houth ilikuwepo kitambo. Ziara ya mwisho ya Blinken mashariki ya kati ilikuwa ni kuyakokota mataifa 4 vitani. Yote yalimkatalia

    Kibri cha Marekani na Uiengereza kuyaona mataifa mengine duniani hasa mashariki ya kati yanakaliwa na watu wajinga kinazidi kupata vikwazo katika awamu hizi. Juhudi za kuwashawishi viongozi wa mataifa hayo ya mashariki ya kati kuwapokea wapalestina wa Gaza zilikwama mapema sana.Juhudi hizo...
  11. B

    Bei za mafuta juu, vita vikisambaa mashariki ya kati

    1. Nani anataka vita mashariki ya kati? 2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku. 3. Nani asiyezijua athari za vita, achilia mbali mashariki ya kati? 4. Siyo sisi tuliowahi kushauriana kuhamia hata Burundi ikibidi? 5...
  12. Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  13. U.S-CHINA Tech War: Soko la mashariki ya kati

    US-China 'tech war': AI sparks first battle in Middle East Cathrin Schaer 10/02/2023October 2, 2023 The US has restricted exports of some computer chips to the Middle East, to stop AI-enabling chips from getting to China. But there's no information on which countries are affected, or how chips...
  14. L

    Kwanini Marekani ina hofu na diplomasia ya China katika eneo la mashariki ya kati?

    Kwa mara nyingine hali tete imetokea tena katika eneo la mashariki ya kati. Mbali na mgogoro wa Yemen, na mvutano kati ya Marekani na Iran, mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas umekuwa kuigonga vichwa vya habari, upande mmoja ukilaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na kundi la Hamas na...
  15. Mshindi wa vita vya mashariki ya kati ni yule mwenye kumiliki jiji la Daudi au Jerusalem

    Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
  16. B

    Crown Prince wa Iran - Nchi ya Iran kwa sasa ingekuwa Japan ya Mashariki ya Kati

    UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8 Source : Valuetainment Crown Prince Reza Pahlavi...
  17. Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

    Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama...
  18. Ni rahisi kuwaambia waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na wakakubali ila huwezi waambia wachina hivyo wakakuelewa

    Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao. Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
  19. Vikosi vya Israel vyapata kiwewe kuingia Gaza huku vikosi vya Marekani Mashariki ya Kati vikianza kushambuliwa

    Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo. Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza. Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant...
  20. Kwanini Urusi, China na India wameamua kuwa watazamaji mgogoro wa mashariki ya kati?

    Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati? Je, ni kwanini mataifa yanayoonekana kuwa na nguvu yameamua kukaa pembeni? Je yanangoja marekani ishindwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…