mashariki ya kati

Mashariki ya Kati
Mashariki ya Kati ni eneo la kijiografia linalojumuisha nchi kama Saudi Arabia, Iran, Iraq, Israel, Jordan, Syria, Lebanon, United Arab Emirates, Qatar na nyinginezo
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri na Jordan zinashindwa vipi kuilazimisha Israel ifungue mpaka watu wapate chakula ili wasife

    Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina. Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia Israel isiwaue watu wa Gaza kwa kuwazuilia chakula ambacho kinaoza mipakani kwa takriban mwezi wa...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lapeleka ndege za kivita aina ya F-35A Mashariki ya Kati

    Jeshi la Marekani limepeleka ndege zake za kivita za kisasa zaidi aina ya F-35A Mashariki ya Kati, huku likiendelea kushambulia waasi wa Houthi nchini Yemen — kundi linaloungwa mkono na Iran ambalo limekuwa likishambulia meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu. F-35A ni ndege ya kisasa ya...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mama wa madege-vita yote b-2 kwa sasa wako diego-garcia tayari kwa kazi maalum huko mashariki ya kati

    Ndege-vita sita aina ya B2 kwa sasa zimo kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Zikisubiri tu maelekezo.!!!!
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndege-vita b-1 lancer strategic bomber ikielekea mashariki ya kati tayari kwa kazi maalum!!

    B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika eneo hilo!!! Safari hii kuna jibu lazima lipigwe!!!!
  5. Elly official

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kina wa mgogoro wa Mashariki ya kati

    1. Utangulizi wa Mgogoro wa Mashariki ya Kati Mgogoro wa Mashariki ya Kati ni mojawapo ya migogoro sugu zaidi duniani, unaohusisha mivutano kati ya Israel na Palestina pamoja na ushawishi wa mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, Iran, na mataifa ya Kiarabu. Mgogoro huu unajikita katika masuala...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia itikadi ya msimamo mkali Mashariki ya Kati ilikuwa huba ya kisomo, uvumbuzi na utulivu

    Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye utulivu na intelect ya kutosha. Pafyumu Kinu cha kusindika miwa Incense Burners Vifaa na elimu ya...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

    Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie. Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je unafikiri Elimu kama hii kwa watoto huko mashariki ya kati itawezesha kweli amani ipatikane?

  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo. Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Je, alichokifanya Ismail Hanniyeh kufurahia mauaji ya oct 07,2023 ni halali kwa mjibu wa uislamu?

    Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump aweka video ya maono yake ya jinsi ataibadili Gaza kuwa sehemu ya kula bata.

    Ameposti video kwenye mtandao wake wa Truth Social jinsi anavyoina Gaza ya siku za mbeleni kupitia mpango wake wa Gaza riviera.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

    Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina. Israel ikajibu October 26, hawakurusha...
  13. U

    JamiiForums Tanzania IDF yamuua Mohamed Shaheen amanda mwandamizi wa Hamas huko Lebanon

    IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas. Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu wa operesheni za Hamas nchini Lebanon, kwa mujibu wa jeshi na Shin Bet. IDF inasema Shaheen...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Muda wa kupinduliwa wafalme wa Mashariki ya Kati kwa fedheha umewadia

    Wafalme wa nchi zote za kiislamu ikiwemo mashariki ya kati ni marafiki wa maadui wa Mwenyezi Mungu.Wameweza kuwatawala watu wao kwa njama na ujanja ila wakati wao wa kuondolewa umefika. Kampeni ya kuwaondoa madarakani inaonekana kama ni ndoto lakini inawezekana kwa kasi ya kushangaza na...
  15. sanalii

    JamiiForums Tanzania Hamas hawana shukran au hawana ufahamu, kifupi wako primitive

    Katika kitu kilichonikatisha tamaa ni kuona katika hotuba ya msemaji wa Hamas hakutaja nchi kama South Africa au Ireland ambao kwa nafasi kubwa wamepambana sana kwenye hii vita. Zipo nchi za America kusini walifukuza hadi baloz wa Israel, kuna wananchi kibao wa nchi za magharib ambao hata si...
  16. osu2014

    JamiiForums Tanzania Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

    Muda mchache uliopita taarifa kubwa kwenye vyombo vya habari vyote vya Kimataifa Aljazeera, CNN na nk ni juu ya Makubaliano ya Kusitisha Mapigano kati ya Israel na Hamas. Kufikiwa kwa makubaliano haya kumefanya wakaazi wa Gaza kushangilia na kuandamana barabarani kwa furaha na vifijo. Israel...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 100 wauawa Kaskazini mwa Syria ndani ya saa 48 zilizopita

    Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria, ambapo zaidi ya watu 100 wameuawa ndani ya saa 48 zilizopita. Taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Haki za Binadamu la Syria imesema waliouawa kwenye mapigano hayo ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nani wa kuisimamisha Israeli kwa huu ubabe anao onesha Mashariki ya kati?

    Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa Serikali ya mapinduzibua Irani...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wazo langu: amani ya kweli itapatika Mashariki ya kati kwa kuigawanya nchi ya Syria kuwa nchi

    Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

    Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni. Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama...
Back
Top Bottom