mashamba

Mashamba East is an open pit copper mine near to Kolwezi in Katanga Province, Democratic Republic of the Congo, currently not being actively worked.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wabunge waliopanda kitorori kwenda bungeni watafute mashamba 2025 si mbali

  2. R

    JamiiForums Tanzania Wadudu waharibifu wavamia mashamba ya mahindi Babati

    Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara. Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
  3. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunategemea mashamba ya Serikali, wengi tungekufa njaa

    Ndugu zangu, Kila leo najaribu kutafakari mustakabali wa taifa hili na mienendo ya taasisi mbalimbali za Serikali na utendaji wake. Ni jambo la kusikitisha, kutisha na kustaajabisha na ukosefu wa ubunifu, na utendaji duni wa taasisi nyingi. Umeme ni kitendawili, hili najua wengi mmeliongelea...
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Habari za wakati huu; Tuwasiliane kwa wale ambao wanahitaji kununua mashamba na viwanja katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.Maeneo tunayouza ni yaliyopimwa na ambayo hayajapimwa.Maeneo yako katika makundi yafuatayo: Maeneo yanayofaa kwa ajili shughuli za kilimo Maeneo yanayofaa kwa ajili...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnaudhi sana! Mbolea ya ruzuku inakaeje Dar na hamnaga mashamba huko!?

    Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri? Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani? Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  7. JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege vinazungukwa na mashamba migomba au miti kuruhusu ndege kutua kwa dhalula salama

    Kuna tetesi kwamba kuna maelekezo kutoka kwa waongoza ndege kumweleza rubani wa ndege ya precision kutua kwenye maji nani alikuambia sehemu salama. Kama blackbox kutakuwa na communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kombinesheni Nina ekari 50 za mashamba Bora kabisa ya mahindi Rukwa

    Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
  9. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi wamekuwa frustrated hadi wanapiga mabomu kwenye mashamba ya ngano

    Warusi wana hasira kwa kutamaushwa na vita ambavyo vinawagharimu sana, mpaka wanapiga mabomu kwenye mashamba sasa..... Nearly 600 hectares of various sorts of grain have burned down as a result of Russian attacks in the Zaporizhzhia region on Tuesday. "During yesterday’s Russian missile...
  10. JamiiForums Tanzania Kilosa: Serikali yakabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa kwa Wananchi

    RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO. Na Mwandishi wetu... Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana limeni; masoko, mashamba ya uhakika yapo

    Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na kilimo kwani Serikali imetenga mashamba na imeshatafuta masoko kwa ajili ya mazao yatakayozalishwa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Wilaya ya Kiteto na fursa ya mashamba kwa zao la alizeti

    Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012. Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na mkoa wa Tanga , Kusini mkoa wa Dodoma, Kusini Mashariki Mkoa wa Morogoro upande wa Kaskazini...
  13. JamiiForums Tanzania Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Hello wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tupeane connection za maeneo ambayo kuna viwanja au mashamba makubwa kwa bei nafuu kwaajili ya uwekezaji au ujenzi. Mimi binafsi niko Dar, natamani sana kupata eneo au shamba lenye rutuba nzuri angalau ekari 10 pembezoni...
  14. JamiiForums Tanzania Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

    Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza vijiji vyote kila wilaya wahamie kwenye kijiji kimoja teule, vijiji vingine vibaki mashamba tu

    Ukipeleka mnara mmoja wa simu unahudumia vijiji 20 kwa mpigo. Ni hayo tu, labda kama kuna mengine ya kuongezea
  16. F

    JamiiForums Tanzania Wakulima waelimishwe waache kuchoma mabaki ya mazao wakati wa kuandaa mashamba

    Kumekuwa na utamaduni wa kale wa wakulima kuchoma mabaki ya mazao kwa kigezo Cha kujiandaa na msimu mpya wa kilimo. Mabaki hayo ni pamoja na mabua, magunzi na hata nyasi kavu. Hii ni MBOLEA YA MBOJI au composit Manure. Inarutubisha udongo hapo baadae na kupunguza umri wa aridhi yako kuchoka au...
  17. JamiiForums Tanzania Kampuni za kupima ardhi na mipango miji (Urasimishaji)

    Ni miaka mitatu sasa tangu kuwepo kwa vuguvugu la Makampuni ya kutoa huduma za Urasimishaji Viwanja na mashamba kwa gharama ya 250,000 (baadaye gharama ikashuka kuwa 150,000). Lengo likiwa mwenye shamba /viwanja kupewa hati ya umiliki. Kwa maeneo ya Tegeta Madale, Mivumoni, Goba, Msigani jijini...
  18. JamiiForums Tanzania Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Farm for sale Morogoro Town

    Clean title deed 150 acres 400 millions TSH Well developed area 7 kilometres from Morogoro Town Few minutes from Morogoro Dodoma road Ideal for Agriculture or any investment Mkundi/Makunganya/Nguru Ranch Morogoro Town Tanzania +255714908121
  20. W

    JamiiForums Tanzania Land for sale 5000ecres / mashamba yanauzwa Njombe ekari 5000

    Mashamba Yanauzwa Mkoani Njombe zaidi ya ekari 5000 kwa wale wanaopenda kulima Parachichi basi mashamba haya yanafaa sana Barabara ipo mpaka shambani maji yapo mpaka shambani wahi sasa msimu umeanza. Mawasiliano 0766480491.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…