Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,495
5,531
Habari za wakati huu;
Tuwasiliane kwa wale ambao wanahitaji kununua mashamba na viwanja katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.Maeneo tunayouza ni yaliyopimwa na ambayo hayajapimwa.Maeneo yako katika makundi yafuatayo:

  1. Maeneo yanayofaa kwa ajili shughuli za kilimo
  2. Maeneo yanayofaa kwa ajili ya Viwanda
  3. Maeneo yanayofaa kwa ajili ya shughuli za Makazi
  4. Maeneo ambayo yanafaa kwa matumizi anuai
  5. Maeneo ya makazi tunayouza ni yenye ukubwa usiopungua mita za mraba 600 ingawa ukihitaji chini ya hapo pia yapo
Maeneo haya yanapatikana katika mikoa mbalimbali na kwa gharama nafuu ambazo zinaongeleka.Baadhi ya maeneo ambayo kwa sasa yako sokoni ni kama ifuatavyo:

Arusha

Zipo heka 6 ambazo zipo katika maeneo ya Nduruma na zinapatikana kwa gharama ya shilingi milioni 19kwa heka na zinafaa sana kwa ajili ya shughuli za kilimo kwani eneo lina maji na rutuba.

Zipo pia heka tatu huko karatu ambazo nazo zinafaa kwa kilimo cha mvua

Pia yapo maeneo yanayofaa kwa makazi ambapo bei zake zinaanzia kiasi cha shilingi milioni 2 kwa yasiyokuwa na hati na Milioni 12 kwa maeneo yenye hati

Mkoa wa kilimanjaro

Huku kuna maeneo yanayofaa kwa makazi ambayo bei yake inaanzi shilingi milioni 2 kwa maeneo yasiyokuwa na hati na shilingi milioni 8 kwa maeneo yenye hati

Mkoa wa Dar es Salaam

Katika mkoa wa Dar es Salaam yanapatikana maeneo ya makazi katika wiliya za kigamboni,Kinondoni na maeneo ya jirani na jiji kama Kibaha,Mkuranga na Bagamoyo ambao bei zake zinaanzia shilingi milioni 3 kwa maeneo ambayo hayajapimwa na shilingi milioni 15 kwa maeneo ambayo yamepimwa

Pia tuna maeneo katika Mikoa ya Singida,Morogoro,Dodoma,Shinyanga,Tanga na Pwani yanayofaa kwa uwekeza,kilimo na makazi.

Iwapo unahitaji eneo tafadhali tutumie meseji kwa njia ya whatsap ukitaja eneo unalotaka liwe na ukubwa gani,liwe wapi na bajeti yako ni shilingi ngp.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0757323060

Karibuni sana kwa huduma bora.
 
Aridhi mkoa kilimanjaro ina bei kuliko ya mkoa wa Dar, hapana kuna jambo halitosis sawa
 
Mkuu,SIjakuelewa kwamba ardhi ya Dar ni aghali au ni nafuu?Nafikiri kuna maeneo Dar ambayo ni nafuu na ghali na pia Kilimanjaro vivyo hivyo.
 
Habari za wakati huu;
Tuwasiliane kwa wale ambao wanahitaji kununua mashamba na viwanja katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.Maeneo tunayouza ni yaliyopimwa na ambayo hayajapimwa.Maeneo yako katika makundi yafuatayo:

  1. Maeneo yanayofaa kwa ajili shughuli za kilimo
  2. Maeneo yanayofaa kwa ajili ya Viwanda
  3. Maeneo yanayofaa kwa ajili ya shughuli za Makazi
  4. Maeneo ambayo yanafaa kwa matumizi anuai
  5. Maeneo ya makazi tunayouza ni yenye ukubwa usiopungua mita za mraba 600 ingawa ukihitaji chini ya hapo pia yapo
Maeneo haya yanapatikana katika mikoa mbalimbali na kwa gharama nafuu ambazo zinaongeleka.Baadhi ya maeneo ambayo kwa sasa yako sokoni ni kama ifuatavyo:

Arusha

Zipo heka 6 ambazo zipo katika maeneo ya Nduruma na zinapatikana kwa gharama ya shilingi milioni 19kwa heka na zinafaa sana kwa ajili ya shughuli za kilimo kwani eneo lina maji na rutuba.

Zipo pia heka tatu huko karatu ambazo nazo zinafaa kwa kilimo cha mvua

Pia yapo maeneo yanayofaa kwa makazi ambapo bei zake zinaanzia kiasi cha shilingi milioni 2 kwa yasiyokuwa na hati na Milioni 12 kwa maeneo yenye hati

Mkoa wa kilimanjaro

Huku kuna maeneo yanayofaa kwa makazi ambayo bei yake inaanzi shilingi milioni 2 kwa maeneo yasiyokuwa na hati na shilingi milioni 8 kwa maeneo yenye hati

Mkoa wa Dar es Salaam

Katika mkoa wa Dar es Salaam yanapatikana maeneo ya makazi katika wiliya za kigamboni,Kinondoni na maeneo ya jirani na jiji kama Kibaha,Mkuranga na Bagamoyo ambao bei zake zinaanzia shilingi milioni 3 kwa maeneo ambayo hayajapimwa na shilingi milioni 15 kwa maeneo ambayo yamepimwa

Pia tuna maeneo katika Mikoa ya Singida,Morogoro,Dodoma,Shinyanga,Tanga na Pwani yanayofaa kwa uwekeza,kilimo na makazi.

Iwapo unahitaji eneo tafadhali tutumie meseji kwa njia ya whatsap ukitaja eneo unalotaka liwe na ukubwa gani,liwe wapi na bajeti yako ni shilingi ngp.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0757323060

Karibuni sana kwa huduma bora.
Taja Maeneo ulikuwa na mashamba/ viwanja kwa Kilimanjaro..pamoja na bei zake
 
1679294266505.png

Hamjazungumzia hili jambo kama limezingatiwa katika tangazo lenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom