mashahidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 9, vielelezo 10 kutumika katika kesi ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema

    Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 10 kuhojiwa kesi ya Padri anayedaiwa kubaka mtoto

    Mashahidi hao ni wa upande wa mashtaka kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) dhidi ya Padri Sostenes Bahati huku upande wake ukisema utakuwa na ushahidi wa mshitakiwa kutokuwepo eneo la tukio siku ya tukio. Ushahidi huo unaofahamika kama Alibi, unahusisha mshtakiwa kujitetea kuwa alikuwa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje kuona ndugu yako wa damu anayehudumia familia yenu ni mmoja wa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya akina Mbowe?

    Baba Yako au ndugu Yako unapomuona akiwa upande wa mashihidi kesi ya akina Mbowe unajisikiaje? Unajisikia furaha kwamba ukoo wenu umezaa shujaa ukamsomesha na kumwombea Kwa Mungu apate na Sasa anafanya kazi mliyotamani awe anaifanya? Unaposikia ndugu Yako akitajwa KWENYE jopo la mawakili wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, Kabendera na Tito Magoti watafika mahakamani kama mashahidi wa utetezi? Kutajwa kwao kunalenga nini kwenye kesi ya Mbowe?

    Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa likiunganishwa na awamu iliyopita pamoja na ukweli kwamba kituo chake pamoja na kuwa Arusha alipewa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Zipo baadhi ya nchi zilizouza maeneo yao

    ukiingia google ukasearch kwa heading List of territory purchased by a sovereign nation from another sovereign nation Utaletewa nchi nyingi sana zimefanya biashara hii na wanakuletea mpaka bei walinunua Mifano michache Louisiana - Marekani ilinunuliwa kutoka France kwa USD 15,000,000 Florida...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Kati ya mashahidi nane kesi ya Mbowe nimewatambua ni wale walioniteka na kunitesa

  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 24 wa Jamhuri dhidi ya Mbowe; hadi sasa wamefika 8, bado 16

    1. ACP Kingai, Afisa wa polisi 2. Justine Kaaya, Afisa wa polisi?? 3. H 4323 Constable Msemo, Afisa wa polisi 4. Anisha Valerian Mtalo, Mama muuza mbege 5. Fredy Kapara, Mwanasheria tiGo 6. SSP Sebastian Madenge, Afisa wa polisi 7. Inspector Omary Mahita, Afisa wa polisi. 8. Jumanne Malangahe...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mashahidi wa Mashtaka wana nini Kipya?

    Kwa hakika tangu kesi nzito hii kwa jina imeanza, ushahidi wa kuendana nayo umeshindikana kutolewa. Bila shaka kwa upande wa mashtaka, ushahidi wa Luteni Urio ulikuwa ndiyo wa muhimu zaidi. Lakini kama ni hawa kina Mahita, Kaaya, Wauza mbege, Kingai au yule jamaa wa Tigo, labda ilikuwa muda...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Askari Waliotuhumiwa kupora milioni Mia Moja ni mashahidi kesi ya Mbowe

    Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka. Baada ya clip ile kusambaa na watu kupiga kelele Takukuru na Polisi waliibuka na kudai...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa dini wazuie Quran na Biblia kutumika mahakamani kwa mashahidi kula viapo

    Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu. Kwa mfano tu mzuri, hivi...
Back
Top Bottom