mashahidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Alute Lissu (kaka yake Lissu) afafanua kwa urefu mashahidi watakaoitwa kuthibitisha uhaini wa mdogo wake

    https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse Mashahidi hao watatu ni: =============================================== "DEATH ROW DIARIES” Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
  2. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Incitement to violence: Mashahidi wengi wamesema hiki ambacho siyo uchochezi

    Incitement to imminent lawless action refers to speech that is intended to and likely to cause immediate violence or illegal activity. A key example is a speaker at a rally urging the crowd to physically attack a specific individual or group right then and there, and the crowd is likely to...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

    Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi. N.B Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo. paschal mayalla
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda. Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi. Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu kuweni macho sana, kuna mashahidi wa UONGO wamepangwa, soma hukumu hii mjiridhishe

    According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to...
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu. Kuhusu maamuzi, soma Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu Amesema...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  15. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waiangukia Jumuiya ya kimataifa wakipinga mashahidi kufichwa katika kesi ya uhaini ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu hizi zinazomhusu Lisu, Mahakama Kuu haiaminiki tena, ni Kangaroo Court of the century

    A KANGAROO court is an informal term for a legal proceeding that disregards recognized standards of law or justice, often characterized by unfairness and a predetermined outcome. It implies a biased or illegitimate tribunal where the rights of the accused are not respected, and the proceedings...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ole wao mashahidi wa Uongo!

    Ushuhuda wa uongo ni miongoni.mwa madhambi makubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu. Miongoni mwa Amri 10 za Mungu ni kuwa usimshuhudie mtu uongo. Sasa ole wao wanaopanga kuwashuhudia wenzao uongo, mbele ya mahakimu, hao ni watu wanaovunja amri za Mwenyezi Mungu waziwazi kwa ajili ya maslahi...
  20. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
Back
Top Bottom