masaki

Masaki Satō (佐藤優樹, Satō Masaki) (born May 7, 1999 in Sapporo, Hokkaido) is a Japanese pop singer. She is a former tenth-generation member of the pop group Morning Musume.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi mlioko Msibani Masaki kwa Mkono punguzeni Ulafi

    Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili...
  3. B

    JamiiForums Tanzania St. Peter to Masaki; Mkandarasi funika Check point zako zitaleta hathari

    Habari zenu, Ujenzi unaoendelea wa bomba kubwa likitoketa st peter kuelekea Masaki ambapo ujenzi huo unajumuisha pamoja na makaro/ mashimo makubwa kama check point za mradi tafadhali zifunikwe mapema maana zitaleta hathari kwa wanafunzi wa shule za msingi za maeneo hayo hasa shule ya msingi...
  4. THE BOILER ROOM

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

    Kwanza kabisa naomba mnisamehe kama Uzi wangu unaofanania na kudhihaki ila hii si shabaha yangu!Shabaha yangu kubwa ni kutoa taswira ya namna mabadiliko ya matumizi ya ardhi ya maeneo husika yalivyotofautiana sana na mpango wa awali wa matumizi ya ardhi ya maeneo hayo kabla; Enzi hizo wakati...
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Hello 👋 brothers n sisters Good afternoon! Tuanze na huu mkasa hapa fuatana nami hadi mwisho. Kuna nyumba hapa Masaki location x, ni ghorofa ya floor moja tuu ndani ina swimming pool, car parking, ina mifumo ya cctv na iko fully furnished. Mmiliki wa hii nyumba ni marehemu Deborah mwenyeji wa...
  6. yoteyametimia

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupigwa mswaki zaidi ya mara moja kwa siku?

    Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga...
  7. Mtanzania Mnyonge22

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    Habari Zenu Wakuu. Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya...
Back
Top Bottom