marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

    Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake. Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa EU wakubaliana kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi

    Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine Umoja huo wenye takriban Nchi 27...
  3. JamiiForums Tanzania ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni. Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku series za kihistoria za Kituruki

    ♦️Nimefuatilia maudhui ya films za KITURUKI za kihistoria ambazo zinahusisha kwa kiasi kikubwa mapambano ya mapanga nikaona kwa mawazo yangu hazifai kuonyeshwa Tanzania ♦️ Zinaonyesha ukatili wa kuchinjana hadharani kwa mapanga, hivyo zinaweza kufanya vijana wakaiga michezo hiyo na kutengeneza...
  5. JamiiForums Tanzania Majina 963 marufuku kuingia Urusi, staa wa Hollywood, Morgan Freeman naye ni mmoja wao

    Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan...
  6. JamiiForums Tanzania Toyota kusitisha uzalishaji wa magari kutokana na marufuku ya kutoka nje mjini Shanghai

    Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai. Hii ni kampuni kubwa ya pili ya magari kutangaza kuwa inaathiriwa na marufuku ya kutoka nje ya Covid-19...
  7. JamiiForums Tanzania G7 yapiga marufuku ununuzi wa mafuta Urusi

    Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022. Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

    Hapa chini ni Orodha ya Vipodozi vilivyo pigwa Marufuku ==== TANZANIA BUREAU OF STANDARDS LIST OF BANNED COSMETICS A “Cream” and “lotions” containing “Hydroquinone” 1. Mekako Cream 2. Rico Complexion Cream 3. Princess Cream 4. Butone Cream 5. Extra Clear Cream 6. Mic...
  10. JamiiForums Tanzania Taliban yaamuru TikTok kupigwa marufuku kwa madai inapotosha Vijana

    Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji wa Taliban, Inamullah Samangani amesema hatua hiyo ilikuwa ya lazima ili kuzuia kizazi hicho...
  11. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

    Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda...
  12. JamiiForums Tanzania Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo. ================= TAARIFA HII IMEKANUSHWA DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
  13. JamiiForums Tanzania Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

    Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana. Hii ni Taharifa ya BBC... Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni za ukaguzi wa magari zilizopigwa marufuku Kenya zaomba tenda Tanzania

    Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam. Tangazo la zabuni lililopo kwenye tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili 4...
  15. JamiiForums Tanzania Simba Yapiga Marufuku Mashabiki ''Kupiga Tochi'' Mechi dhidi ya Orlando Pirates

    DAR ES SALAAM UONGOZI wa Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani. Simba SC imepiga marufuku Tochi hizo, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho dhidi...
  16. JamiiForums Tanzania DC Ludigija: Kuna Meli inavujisha mafuta baharini, Watu wa Dar msinunue mafuta ya kwenye Madumu, yamechotwa Baharini

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu. Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga mafuta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Iringa: Marufuku watoto chini ya miaka 9 kupanda bodaboda

    Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani Iringa, kimepiga marufuku watoto chini ya umri wa miaka tisa kupanda bodaboda. Mkuu wa Kitengo hicho, ASP Yusuph Kameta amesema ni kosa kisheria kwa mtoto chini ya umri huo kupanda bodaboda. Hata hivyo, wazazi na walezi wengi ndio wanaoongoza kuwapakia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kwenye maeneo ya stendi za magari ya usafiri

    Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero. Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
  19. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

    Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini. Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi: Mahakama yapiga marufuku Facebook na Instagram

    Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema. "Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku shughuli za [Instagram na kampuni mama ya Facebook] ya Meta," Jaji Olga Solopova alisema, kwa mujibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…