Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media kilichorushwa leo Julai 28, 2026.
Uchaguzi huu ulioisha, niliwaambia naomba nyimbo kama zile, wapinzani hawa tuwachinje chinje, tuwakishe kete, sitaki kusikia wimbo wa aina hiyo TBC. Kwa...