maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Iwapo rais ataamua kuwasikiliza washindani wake kisiasa hana atakachopoteza sana sana atatambulika kama shujaa wa maridhiano na demokrasia

    Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo sasa kuna mkwamo mkubwa sana wa kidemokrasia ambao mwenye nyenzo muhimu kuutanzua ama kuuacha uendelee kukua ni mheshimiwa Rais. Naita mkwamo kwa sababu tofauti na chaguzi kadhaaa za miaka kabla ya 2019,2020 na hata 2024 walau wananchi walikuwa wakichagua...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Dkt. Yohana Nzelu: Watu wanauawa na kupotea, tukizungumza wanasema Askofu amekuwa Mwanasiasa

    Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali. Video: Kitenge TV
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yaomba maridhiano ya kisiasa ili kushiriki uchaguzi mkuu

    Wanabodi leo nimekutana na hii taarifa kuwa imepostiwa na BBC kwamba CHADEMA wameomba maridhiano ya kisiasa ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu. Je, ni kweli?
  4. JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman: Tumejitahidi kuleta maridhiano Zanzibar lakini wenzetu wameingia mitini

    Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo. Othman ambae pia...
  5. JamiiForums Tanzania Raila atoboa alichoongea na Chadema: Nimewashauri Chadema warudi kwenye maridhiano

    Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya. Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Urusi anapigana na Ukraine kwanini USA anahaha na maridhiano?

    Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine! Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine. Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi. Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi hii kamati ya maridhiano ya kitaifa inataka watanzania turidhiane kuhusu mgogoro gani?

    Kiukweli binafsi sielewi hii kamati ina umuhimu gani kwa taifa hili naona kama ni kajitaasisi ulaji kameundwa ili kulinda maslahi ya watu Fulani hivi. Watanzania tunataka kuridhiana kuhusu kitu gani?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je kwanini Maridhiano na 4R zime mshinda Rais Samia?

    Je kwanini Maridhiano na 4R zime mshinda Raisi Samia? Kati ya sababu hizi 1. Raisi Samia alikuwa hana nia alitumia muda kujiweka sawa 2.Raisi Samia alizidiwa na makada vigogo ambao hawataki mabadiliko 3. Raisi Samia muda ulivyokuwa unaenda akaanza kupenda uchawa na kuwa dikteta. Mama kanogewa...
  9. JamiiForums Tanzania Ado: ACT imejiridhisha maridhiano yaliyoahidiwa na Rais Samia yamesambaratika na falsafa yake ya 4R imeota mbawa

    ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama). Kikao hicho kilipokea...
  10. JamiiForums Tanzania Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

    Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema. Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa ujio wa Tundu Lissu, CCM na Samia itafika mahali wajutie kushindwa kwao kutekeleza maridhiano na Mbowe

    Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro. Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna tatizo, kwanini wanataka maridhiano?

    Kwa nyakati kadhaa viongozi wa serikali na CCM wamekuwa wakisema nchi Iko shwari, watu wako huru wanafanya siasa zao bila shida. Yani kiufupi hakuna tatizo lolote. Lakini watu hao hao utasikia 4Rs, mara upinzani walikataa maridhiano. Na hivi karibuni Mzee Wasira amesema wao wako tayari kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya danadana mahakamani; Madeleka amuomba Wasira kuwapokea ili kutumia njia ya maridhiano kumsaidia Dkt. Slaa katika mashauri yanayomhusu

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Beda Nyaki amehitaji kupata muda wa masaa mawili kuweza kutafakari kama ataendelea na kusoma uamuzi aliotakiwa kuusoma tarehe 23 Januari 2025 juu ya shauri la Dkt. Wilbroad Slaa au lah. Hakimu Nyaki ameomba kupata muda huo wa kutafakari...
  14. JamiiForums Tanzania Maridhiano turufu ya Dr Mbowe, F

    Maridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake
  15. JamiiForums Tanzania Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

    Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
  16. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya nini na CCM Wametukosea nini Watanzania?

    Wakati wa John Pombe Magufuli, Freema Mbowe aliomba marithiano kule Mwanza. JPM akakausha.. Baada ya Mama Samia kuingia Madarakani alikuja na 4R na akaanzishisha maridhiano na Chadema. Leo Wasira kasema kuwa ataendeleza maridhiano stakeholders wote siyo na mtu akitaja taasisi za kidini. NGOs...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

    Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii. Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa! Pia soma: Lissu: Habari ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wakitoka hapa wanakubaliana na si mmoja wao kesho kusema sihusiki kama Lisu anavyosema kuhusu maridhiano

    Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
  19. JamiiForums Tanzania WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…