maridhiano ya kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    Mabadiliko ya kweli Tanzania yatapatikana iwapo tu viongozi waliofanya mauaji watashtakiwa ICC na Mahakama nyinginezo za nje

    Amani iwe nanyi Wanabodi. Leo napenda kuwaambia ukweli mchungu sana ambao inabidi tuupokee na kuufanyia kazi kweli. Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania haki zao bila kuwepo kwa shinikizo (hofu) la kushtakiwa na kufungwa jela nawaonea huruma sana...
  2. M

    PostGE2025 Maridhiano ya kweli huwa yapo ndani ya mioyo ya watu. Kilichotokea Oktoba 29 kimeongeza chuki zaidi dhidi utawala huu

    Ukikaa na watu walioshuhudia tukio ghasia za kuukataa utawala wa rais Samia ile Oktoba 29 mpaka Oktoba 31 utapata picha kamili kuwa watu wahataki kutawaliwa na huu utawala. Watu wameshuhudia baadhi ya watu wakiwa vijiwe vya kahawa, wakiwa majumbani na wengine wakiwa wanafanya shughuli zao...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dkt Mwinyi: Nchi yetu ina amani, ina umoja, mshikamano, na hata tuna maridhiano ya kisiasa

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama hicho kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo imeiwezesha Zanzibar kufikia mafanikio makubwa ya maendeleo katika miaka mitano iliyopita. Akizungumza leo...
  5. masopakyindi

    Miezi hii miwili ni ya muhimu sana ili kupata maridhiano ya kisiasa

    Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania. Tanzania...
  6. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yaomba maridhiano ya kisiasa ili kushiriki uchaguzi mkuu

    Wanabodi leo nimekutana na hii taarifa kuwa imepostiwa na BBC kwamba CHADEMA wameomba maridhiano ya kisiasa ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu. Je, ni kweli?
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: Rais Samia aliita vyama vya Siasa, CHADEMA hawakuja kwenye maridhiano

    "Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano. "Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo. "Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo: Rais Samia alituhadaa na falsafa yake ya maridhiano kutupotezea muda

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao. “Kumbe Mheshimwa Rais alikuwa anatuhadaa kwa hiyo Rais akataka kwanza awe na kipindi cha kutokusumbuliwa ili aweze...
  9. Mbangaizaji wa Taifa

    PreGE2025 Tito Magoti: Kwenye hiki kinachoitwa ‘Faida za Maridhiano’ naomba, kwa heshima kubwa, nitofautiane na Mbowe

    Imeandikwa na: Adv Tito Magoti Niliweka wazi kwamba ninamuunga mkono Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika safari yake ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Niliongeza pia kwamba, ashinde ama asishinde, tangu atangaze nia, mambo mengi yanayotutazamisha...
  10. DaudiAiko

    Maridhiano ya kweli kati ya chama tawala na vyama vya upinzani yanawezekana kama haya yatazingatiwa

    Kwa muda mrefu Sasa, Chama cha Mapinduzi kimeongoza kwenye dira ya siasa kwa kuwa na Sera zinazo kubalika kwa wananchi na kwa ujumla kufanya vizuri katika kipindi ambacho wawakilishi wake wamekuwa madarakani. Matokeo ya kuwa na rekodi nzuri kama hii ni nzuri kwa wananchi na Chama tawala lakini...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA kuanika hadharani nyaraka za Maridhiano zilizowakimbiza CCM, lengo ni kuiumbua mbele ya Umma

    Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani. Kauli hiyo Thabiti imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho John Heche, aliyekuwa pia Mjumbe wa Timu ya Chadema ya...
  12. R

    Haya ndiyo maridhiano tuyatakayo wananchi dhidi ya Serikali

    Napoongelea maridhiano kati ya Wananchi na Serikali naomba nieleweke kuwa, simaanishi aina Ile ya maridhiano kati ya CCM na ACT kule visiwani, Maridhiano nayoongelea Si yake ya Mh Mbowe na kinana na team yake ambayo yaliendelea zaidi ya mwaka huku tukiendelea kukandamizwa na TOZO na Mfumuko wa...
  13. Kabende Msakila

    Rais Samia, wananchi hatutaki tena maridhiano ya kisiasa

    Wananchi wengi wa Tanzania tunafuatilia mienendo ya vyama vya siasa kisha tunagundua kwamba waomba maridhiano CDM, ACT, NCCR, CUF, nk, ndio waanzishaji wa vurugu. Tundu Lissu wa CHADEMA kutukana mamlaka ya Rais huku Godbless Lema akidhihaki mamlaka ya Rais. Dkt. Slaa kutukana mamlaka ya Ikulu...
  14. R

    Huu moto wanaowasha CHADEMA unatisha, umemkumbusha Kinana aliamini Maridhiano yatawafunga mdomo

    CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa. Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye maridhiano basi CHADEMA watanyamaza kusema kumbe ndio kwanza wamefungulia kusema. Kinana aliamini...
  15. G

    Tundu Lissu anaponda maridhiano kwa nia njema au anahofia nafasi yake ya ugombea urais 2025?

    Wadau ni swali najiuliza Kwamba huyu mgombea urais 2020 Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano Ni vyema akaangalia zaidi maslahi...
  16. Sir robby

    CHADEMA maridhiano yenu na CCM yanadhoofisha mchakato wa kudai Katiba Mpya

    Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA. Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa...
  17. Sildenafil Citrate

    Dkt. Slaa: Freeman Mbowe aachane na Maridhiano maana hayafai, Katiba sio mali yake binafsi au mali ya Rais Samia

    Akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii Aprili 20, 2023, Dkt Slaa amesema akipata nafasi ya kukutana na mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe atamshauri aachane na maridhiano kwa kuwa hayafai. “Nikipata nafasi ya kukutana nitamwambia kwamba fuata principle za siasa safi, simamia, kwa...
  18. The Supreme Conqueror

    PreGE2025 Haya Maridhiano yanamjenga Rais Samia au yanambomoa kuelekea 2025?

    Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais nazungumza hili kwa uhalisia uliopo sasa. Lakini nina mashaka ndani ya hii Siasa mapya inayoitwa Maridhiano...
  19. Mwizukulu mgikuru

    Sababu kuu nne kwanini wana CCM Uchwara wanaumia sana wakiona Maridhiano ya Kisiasa yananawiri

    Ukweli ni kuwa ndani ya CCM kuna makundi mawili, yaani lile linalokubali Maridhiano ya Kisisa na lile lisilokubali Maridhiano. Kundi hili lisilokubali Maridhiano ya Kisiasa ndio wengi zaidi na wengi wao wamefikia mpaka lugha za kejeli kwa Rais mwenyewe na kama haitoshi wamefikia mpaka kuwakejeli...
  20. MLA PANYA SWANGA

    Maridhiano ya kisiasa ya CCM na vyama vingine yasifanyiwe mzaha na upande wowote

    Waswahili tunasema chanda chema huvikwa pete, lakini pia nyota njema huonekana asubuhi. Nchi zote zilizofikia hatua ya kupatikana katiba na Tume Huru za Uchaguzi katika nchi zao, zilipitia katika magumu mengi. Si lazima magumu hayo yafanane lakini yanaweza kuwiana. Kenya ni mojawapo ya nchi ya...
Back
Top Bottom