marekebisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

    Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho. Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana. Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika...
  3. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama hakuna muda wa kuifanyia Tume ya Uchaguzi marekebisho UN yaweza kusaidia

    Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki? Utangulizi: Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Huu uwanja ndio ulifanyiwa marekebisho??

    Ile pitch mbona mbovu Sana, kuna ujanjaujanja pale umetokea, uwanja kama shamba la mpunga.
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura katika mfumo wetu wa uchaguzi ni kupoteza muda. Bila mageuzi ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM amesema CCM itafanya marekebisho ya Katiba yao.

    Ni marekebisho gani hayo.?
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vikindu: Barabara inayotumiwa na wakazi wa Njia Nne, Kilongoni na Mwema ni mbovu sana, ifanyiwe ukarabati

    Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya kutusaidia Wananchi tunaoishi maeneo ya huku tunapata changamoto kubwa kupita. Ikitokea una dharura kama...
  9. sameer0220

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?

    Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu? Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani "Viti Maalum" vimefanikisha usawa wa kijinsia vya kutosha au kunahitajika marekebisho zaidi?

    Sheria kama vile zile za viti maalum kwa wanawake ni muhimu sana katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye siasa. Zinalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika mabunge na halmashauri mbalimbali nchini Tanzania, ambako kihistoria, wanawake wamekuwa wakipata nafasi ndogo katika maamuzi ya...
  11. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko. Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe? Naendelea kusema...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Katiba inatakiwa ifanyiwe marekebisho ya kumpokonya/kumnyima nguvu ya uteuzi baadhi ya nafasi

    Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa sifa. naibu waziri,waziri,madc na marc hii nguvu ingepokonywa pamoja na uteuzi wa wakurugenzi na...
  14. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania MAREKEBISHO YA SHERIA: Sheria za Uhamiaji na Ardhi Zimefanyiwa Marekebisho. Je, Marekebisho Haya Yanatuletea Maendeleo au Hatari?

    Mnamo tarehe 26 Juni 2024, Mwanasheria Mkuu aliwasilisha mswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali Na. 2 ya 2024, ambao umefanya marekebisho kadhaa ya sheria, lakini kinachovutia zaidi kwa Diaspora ni marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji na Sheria ya Ardhi. Marekebisho haya mawili yameanzisha na...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hizi hotel za Sinza ukilala unasikia kama vishindo vyumba vya pili n marekebisho ama?

    Umaweza shangaaa kama n mara ya kwanza. Ila najiuliza mbona n endelevu Wengine wanakimbia kuja kupimzisha kichwa wa enjoy watoe stress Ajabu ikifika saa saba mpaka 10 ama.11 asbh yaan unaskkia kulia vyumba vinapiga kishindo nkajua marekebisho Hee ¹ 11 mpaka moja asbh na sikia upande wa pili...
  16. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya elimu inaitaji marekebisho makumbwa

    1 elimu tulio nayo atuna uhitaji nayo kwa sasa. tuzalishe watoto wenye ujuzi mbali mbali wasome Toka darasa la 5 2 tupuguze muda wa kukaa darasani muda mwingi wa kusoma unafanya elimu isiwe na msaada tena unakuja kuanza kazi unamajukumu mengi umri pay umesha kuacha 3 mtoto anapo fika...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ardhi inahitaji marekebisho?

    Inasemekana: Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99. Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote nchini. Sijui itakuwaje pale Serikali itakapoitamani ardhi iliyokupangisha! Sijui itakupokonya! Kwa...
  18. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar yaongeza kasi ufuatiliaji marekebisho sheria za habari

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010. Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi Millennium Tower 2 wakiri changamoto ya lifti, waomba watumiaji kuwa wavumilivu marekebisho yakiendelea

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai 'lifti' tano kati ya sita kwenye jengo la Millennium Tower 2 hazifanyi kazi, wasimamizi wa jengo hilo wamekiri uwepo wa changamoto hiyo na kuwaomba watumiaji ikiwemo wapangaji kuwavumilia kidogo wakati wakifanya marekebisho ambayo wamedai...
  20. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Malkia wa Nguvu zinahitaji marekebisho

    Ahsante Clouds aksante Kusaga and your team, kuna watu wamefanya mambo makubwa, pengine record zao si rahisi kuzivuja, mfano Mama Mongera na spika mstaafu Makinda na wengine wengi wameshapewa tuzo nyingi na pengine idadi yake hawaimbuki; Lengo la tuzo ni kukumbuka mchango wake lakini la muhimu...
Back
Top Bottom