marekebisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Responded Marekebisho ya vyoo Stendi ya daladala Mbezi Luis yameanza kufanyika

    Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea. Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
  2. L

    Hizi ni Taarifa Tisa (9) Unazoweza Kuzifanyia Marekebisho Kwenye Kampuni Yako

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako. 1. Mtaji wa Kampuni Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku...
  3. Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  4. NIDA yatoa kibali maalum kwa marekebisho ya taarifa za usajili wakiwemo waathirika wa vyeti vya kughushi katika ajira za Serikali

    Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, ametangaza kibali maalumu cha mwaka mmoja cha kuruhusu marekebisho ya taarifa za usajili ambazo zilikwama kutokana na kukinzana na taratibu za uthibitishaji, ikiwemo matumizi ya nyaraka za kughushi na taarifa za uongo. Kibali hicho, kilichoanza kutumika...
  5. C

    Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya sheria ya usalama wa taifa kutowajibishwa kabisa.

    Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo...
  6. Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  7. R

    Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  8. Ukiambiwa uwanja wa Mkwakwani ulifungwa zaidi ya miezi sita kwa ajili ya Marekebisho huwezi kubali

    Ukiangalia uwanja wa mkwakwani na ukaambiwa umetoka kwenye matengenezo huwezi kubali kwanini Majukwaa ya mashabiki badala ya kuweka viti vya kukunja viko vilevile na hayana paa Pembeni mwa uwanja badala ya kuweka nyasi ila kumuwekwa kokoto Surface ya uwanja mbovu bado ina-mabondemabonde- nyasi...
  9. CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  10. N

    Marekebisho madogo ya tatizo la kiufundi yanayoweza kuangaliwa na kufanyiwa kazi hapa jamiiforums

    Habari zenu wanajamii, Problem Kwa sasa ni wazi kuwa kuna tatizo la kurasa za Jamiiforums kuchelewa kuload, hasa pale ambapo chapisho lina picha au video zenye ukubwa mkubwa. Hii sio jambo geni hata kwa watumiaji wa kawaida kuliona, hali inayopelekea matatizo mengi kwa mtumiaji ikiwemo...
  11. H

    Kama tatizo ni katiba mbovu basi marekebisho ya kwamza kabisa ni "Uwepo wa mgombea binafsi"

    Leo tungeona maajabu kwani wagombea wote waliokatwa kinyume na matakwa ya wananchi iwe ndani ya CCM au vyama pinzani basi wangesimama kivyao na wangeshinda kwa vishindo. Hii ndiyo njia pekee ya kuikomboa Tanzania na kuiondoa CCM madarakani vinginevyo wanaotoka CCM kwa maana ya kwenda upinzani...
  12. CCM marekebisho ya Katiba yenu muda mnao, Sheria za uchaguzi muda haitoshi

    Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi? CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
  13. E

    Kumbe hata muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya Nchi upo

    Walafi wa mali za Nchi wanasema mara ooh! Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya nchi haupo !! Sasa kiko wapi!!! Mbona mmeitana kubadili vifungu vya katiba ccm ili kulinda maslahi yenu yanayotishiwa!? Mungu atawafunua kila hila yenu.
  14. P

    Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

    Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
  15. SI KWELI Baraza la mitihani (NECTA) limetangaza marekebisho ya vyeti kupitia shirika la BABU LEO LTD

  16. M

    Marekebisho ya Katiba ni muhimu kabla ya Uchaguzi si kwa CCM,CHADEMA,ACT CHAUMMA Au chama chochote na wananchi kwa ujumla

    Hali iliyopo kuelekea uchaguzi wa 2025 si nzuri huo ndio ukweli tunaenda kwrnye uchaguzi tukiwa tumegawanyika kama TAIFA. Hii ni kutokana na hofu ya wananchi haki kutendeka katika uchaguzi huu. Nadhani uchaguzi wa serikali za Mitaa 2024 ndio umechagiza hofu hii tukubali tusikubali huo ndiyo...
  17. E

    Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?" Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
  18. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  19. D

    TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

    Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho. Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana. Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika...
  20. PreGE2025 Kama hakuna muda wa kuifanyia Tume ya Uchaguzi marekebisho UN yaweza kusaidia

    Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki? Utangulizi: Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…