marekani

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
  2. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Vedeo - Rubio -Marekani yasema NO VISA ya kuingia Marekani kwa wenye chuki binafs na Israel waisahau Marekani

    Free Free Palestina Lengo lake ni Kuiangamiza Israel from the river to the Sea ni Kosa la kimahesabu uhuru hauombwi hivyo na chuki hazijawahi kushinda vita vya muda mrefu.. Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe. Wenye Chuki watasaidiwa kufika Gaza wapigane na Israel na kama hawawezi basi...
  3. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Aliyerusha bomu la petroli(molotov cocktail) Marekani ni jasusi wa Mossad, si mwarabu

    Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel Hata kule...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

    "Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!. Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kituko Mkutano Mkuu CCM: Wajumbe wamshangilia Mjumbe Chama Kikuu Urusi aliyesifia Utekelezaji wa Miradi ambayo kwa 90% imefadhiliwa na Marekani na EU

    Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao. Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Masuala ya Mambo ya Nje Bunge la Senate Marekani yatoa tamko kuhusu Masuala ya Utekaji na Utesaji wa Watu nchini Tanzania

    Kumekucha! Muda mchache uliopita Kamati ya Bunge la Senate la Marekani limetoa tamko zito la kushtushwa na hali ya kuongezeka vitendo vya utekaji na uteswaji wa watu vinayotokea Afrika Mashariki hasa nchini Tanzania. Mungu wabariki Wazungu. Waje kutusaidia kuwaondoa hawa wakoloni weusi. God...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Elon Musk atangaza kuondoka katika utawala wa Rais Trump wa Marekani

    Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya shirikisho. "Wakati wangu niliopangiwa kama Mfanyakazi Maalum wa Serikali unakamilika, ningependa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwenye jeshi la Marekani

    Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani, Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza kuanza kufuta viza za wanafunzi wa China

    Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa. Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zasema hapana kwa Marekani moja baada ya nyingine

    Hivi majuzi, nchi mbili muhimu za Afrika zimesema hapana kwa Marekani. Moja ni Kenya. Tarehe 19, Bunge la taifa la Kenya lilipinga shutuma za baraza la seneti nchini Marekani kwamba nchi hiyo "iliiacha Washington na kutafuta manufaa kwa Beijing", na ikaeleza wazi haki yake ya kuimarisha...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania China yafanya mapinduzi katika nguvu za nyuklia kwa kutumia utafiti ulioachwa na marekani — funzo kwa taifa letu

    UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas yakubali pendekezo la Marekani la mpango wa kusitisha mapigano Gaza

    Wanaukumbi. Duru za habari zinasema Al Jazeera Hamas imekubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na Marekani. Rasimu ya makubaliano hayo ni pamoja na kusitisha mapigano kwa siku 60 na kuachiliwa kwa mateka 10 walio hai pamoja na miili ya watu wengine kadhaa kwa malipo ya wafungwa wa...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
Back
Top Bottom