marekani

  1. JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Trump Kuvaa Kama Papa Haikuwa Bahati Mbaya, Marekani Ilikuwa Ishafanya Maamuzi Juu Ya Ujio wa Papa Mpya

    Watu wengi walivurugwa baada ya kuiona picha ya Trump akiwa amejipa upapa. Watu wakaongea weee ila mzee baba alijua tu, this time Marekani inatoa papa. Akaamua kutupa picha, sema na vichwa vyetu vya panzi hatukuelewa. Kutu chochote kiitwacho uchaguzi, Marekani anaweza kuingiza mikono yake...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  5. JamiiForums Tanzania Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa

    Serikali ya Marekani imekifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa, na kuamuru wanafunzi wa kigeni waliopo wahamie vyuo vingine au wapoteze sifa ya kisheria ya kuishi nchini humo. Uamuzi huo umetokana na chuo hicho kuchochea vurugu na chuki dhidi ya Wayahudi, na...
  8. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

    Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania. Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania. Next ni office za US Senete Stay tuned
  9. JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi kukubaliwa duniani, Marekani inaenda kinyume na kutishia usalama wa binadamu wote kwa kuboresha silaha...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotazaa Mkutano wa Rais wa Marekani, Donald Trum na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa

    Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo: 1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump Trump ana historia ya kutumia matukio yenye hisia kali ili kuvutia wafuasi wake wa mrengo wa kulia. Kwa kuonyesha video ya madai ya “mauaji ya...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani imepokea rasmi ndege kutoka Qatar itakayotumika kama Air Force One

    Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais. Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump. “Waziri...
  12. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei atiliashaka mazungumzo ya nyuklia ya Marekani

    Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha urani. Hatujui iwapo yatasababisha mafanikio yoyote. Hatujui kitakachotokea, Ayatollah Ali...
  13. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

    Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali? Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama...
  15. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka Prison Break?? Wana wamefanya kweli huko Marekani!

    Jamaa badala ya kuigiza wenyewe wamefanya uhalisia! 1) Wametumia choo! flee the jail on Friday through a hole behind a toilet and scale a wall 2) Walinzi wanakuja kustuka baada ya masaa saba! The absence of the men went unnoticed for more than seven hours - 3) Mbuzi wa kafara lazima...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji safi na salama Marekani!

    Katika pitapita zangu za kisomi nimejikuta natambua kuwa pamoja na uzee wa Taifa la Marekani bado kuna maeneo mengi hayana maji safi na salama
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini nchi za Ulaya na Marekani huwa wanajali sana kuhusu usalama wa wananchi wao kuliko nchi za Kiafrika?

    Bila kujali hali ya raia huyo, ana hela au hana hela, kijana, mwanamke, mzee, mtoto, mrefu, mfupi, mweusi au mweupe, Usalama wa Raia mmoja mmoja wa Marekani na Nchi za Ulaya na Usalama wa Wananchi wote ni suala la muhimu sana kwa mataifa hayo. Hali hiyo ni tofauti sana kwa Nchi za Kiafrika...
  18. JamiiForums Tanzania Amshambulia ofisa wa polisi ubalozi wa marekani na kutaka kupora silaha

    Wanajamvi kama kichwa kilivo. Nimeitoa huko mtandao wa us embassy hapa Tanzania. Kuna mkulungwa alimshambulia askari polisi anayelinda ubalozi wa US pale msasani na kutaka kupora bunduki. Lakini alishindwa na wakamdhibiti bila madhara yoyote makubwa kuripotiwa. == Tarehe: 15 Mei, 2025 Mahali...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika kuimarika kutokana na athari ya ushuru uliowekwa na Marekani

    Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wanaihofia sana kampuni ya HUAWEI?

    Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio. Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya NVIDIA. Kuna wasiwasi unaoongezeka kwa Marekani kwamba hivi karibuni China itakuwa ikiuza AI processors...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…