marekani

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Bandari kubwa ya makontena Marekani yalia na tariff za Trump

    Mashirika mengi ya kusafirisha mizigo yameanza kukatisha kuagiza na kupokea mizigo Marekani . Bandari ya Long Beach huko kusini ya California imesema kuendelea kwa vita vya kibiashara kutaiangusha bandari hiyo na hivyo kulazimika kuachisha kazi maelfu ya waajiriwa wa eneo hilo. Cargo ship...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Harvard huko Marekani kimekuwa ni chukizo kwa wengi

    Harvard mara zote ilikuwa ishara ya ukuu. Sasa hivi chuo hicho ni aibu tupu imekuwa sehemu ya wapiga propaganda Mwanafunzi wa chuo cha Harvard sasa hivi haiwezi kupata ujasiri wa kusimama dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi, unawezaje kuamini kwamba chuo hicho kitatoa watu wenye akili pevu?
  3. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu kupeperesha bendera ya Tanzania Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani imeanza ku-test Mitambo

    Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta. Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Afadhali kwamba ubalozi wa Marekani nchini Tanzania si miongoni mwa balozi 30 za nchi zinazotazamiwa kufungwa karibuni

    Ukata wa taifa la Marekani kutokana na kujhusisha na vita kwa muda mrefu unazidi kudhihirika katika azma ya utawala wa Trump kutaka kufunga balozi zake kadhaa kote duniani. Balozi hizo nyingi zipo barani Ulaya na Afrika.Baadhi ya balozi hizo za Ulaya ni pamoja na Ufaransa na Ujerumani miongoni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna biashara tunafanya Marekani? Tuko kimya sana kuhusu Tariff za Trump, Wenzetu Kenya wanajadili sana soko lao la Nguo

    Nadhani Tanzania tuko kwenye tariff ya 10% Ningependa kujua tunauza nini huko Marekani Juzikati niliwaona Mabilionea wa Kanda ya Nyasa Sugu na Mungai wakiwa kwenye maduka yao huko Texas lakini sijajua kama wanauza nini Mlale unono
  7. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kanisa linalo muabudu Rapper Lil Kim kutoka Marekani kama " Muungu wao mkuu" ( Supreme Goddess)

    Haya nimeyakuta kwenye page ya Maduskodusko Entertainment huko TikTok kupitia Wimbo wa kiingereza unaoitwa " GODDESS LIL KIM", Ushahidi wa You Tube huu hapa: 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 https://youtube.com/watch?v=JBqm8b0LW_U&si=tH3OifHQsXzJAdEj Mwimbaji anasema : 👇👇👇 👉 Kwenye kitabu kinacho itwa "...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

    Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Marekani hana capacity ya kushindana na china hasa linapokuja swala la vita vya kiuchumi

    Marekani wawekeze kwenye viwanda vya awali (primary industries) ndo wafikirie kushindana na china
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  11. L

    JamiiForums Tanzania "Vita vya ushuru" vya Marekani vinasukuma nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutafuta maendeleo kwa kujitegemea

    Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

    Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi helcopter ilivyoanguka huko Marekani na kuua watu 6

    Helikopta ya watalii iliyokuwa imebeba familia kutoka Hispania ilianguka katika Mto Hudson jijini New York, na kuua watu sita wakiwemo watoto watatu. Kwa mujibu wa maafisa waliotoa taarifa kwa waandishi wa habari, helikopta hiyo ya New York Helicopters ilikuwa imekodishwa na ilikuwa na rubani...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Axian telecom (kampuni mama ya Yas) yapokea uwekezaji wa dola za Marekani milioni 100 kutoka EIB global kwa ajili ya kuboresha huduma za intaneti

    Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rasmi; Iran yasalimu amri kwa Marekani, yakubali mazungumzo huko Oman

    Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
  18. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania China imepandisha 125% kwa bidhaa zinazotoka marekani , pia imesimamisha kuuza madini adimu kwa utengenezaji wa ndege vita

    Marekani imeshikwa pabaya. Kwa sasa ukitaka simu ya Iphone ndani ya Marekani utainunua kwa Dola ya kimarekani isyopungua 3500 tofauti na Dola 1700 mpaka 1800 hapo mwanzo. Hii ni kwa sababu china ndio mtengenezaji mkubwa wa simu za iphone duniani kwa asilimia zaidi ya 90.. Leo china ametangaza...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

    Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400...
Back
Top Bottom