Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID).
Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili...
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.
Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.
Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa...
Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani:
1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani.
Osman: "Alisema alihitaji kupata documents ya kuhakikisha kuendelea kuwepo USA kaka yake, sisi tulifikiri alimaanisha...
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya?
Eti...
Mpo salama wote!
Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi ndani ya taifa husika.
Tunajua kuwa Demokrasia ilianzia nchi za Ulaya hasahasa nchi ya Ugiriki...
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu
Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi
Wakristo wana hofu wakisikia hivyo
Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki kwa kuwa katika Mazoezi hayo kutakuwa na ongezeko la matumizi ya Ndege Vita na Meli Vita.
Taarifa ya...
Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu tena.
Musk alitoa kauli hizi akijibu chapisho la Richard Grenell, Mjumbe Maalum wa Marekani, ambaye...
Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani.
Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
Baada ya jana Trump kusaini amri ya kukata msaada kwa South Africa pamoja na kuruhusu kupewa hifadhi ya ukimbizi Marekani kwa wazungu wa Africa Kusini(Boers) anaosema wananyanyaswa na serikali ya Africa Kusini, wazungu wenyewe wa huko wamepuuzilia mbali hatua hizo wakipaza sauti kila kona kwamba...
Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani.
iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani...
Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa?
Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa!
Wao...
President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks.
Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe...
Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa
Amri hiyo ilitangaza...
Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel.
Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana.
Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...