marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
  2. lugoda12

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA AFRIKA NA MAREKANI

    Jamaa huyu ni Michael Langley kama kamanda mweusi wa Amerika kwa Afrikom. Wakati wa Imperialists White wanataka kuondoa viongozi wa Kiafrika hutumia uso mweusi. Mtu huyu anataka Ibrahim Traore, kiongozi mkubwa wa Afrika aliuawa. Wacha tumfunue mwongo huyu mweusi wa Amerika.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Anguko la uzalishaji wa Viwanda Marekani, Sababu na Athari zake

    Katika karne ya 20, Marekani iliongoza ulimwengu katika uzalishaji wa viwandani. Viwanda vya Marekani vilikuwa injini ya uchumi, vikachangia ustawi wa tabaka la kati nchini Marekani, na vikawa viwango vya ubora na ubunifu. Lakini ifikapo mwanzo wa karne ya 21, sehemu kubwa ya msingi wa hivyo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika

    Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika. Tangu kuanza kwa muhula wa pili wa rais Trump, mashirika kadhaa yametangaza mipango ya kupanua uwezo wao wa uzalishaji nchini Marekani. Matangazo hayo yanakuja wakati...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani Marekani aibiwa pochi nene!

    Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa. Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu, $3,000(dola elfu tatu na ushee) Kwa hela hiyo mimi ningeagiza Subaru Forester. Mkuu huyo wa Usalama...
  6. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu aibuka na Medali ya Fedha Boston Marathon, Marekani

    Alphonce Felix Simbu ni mwanariadha wa kimataifa kutoka Tanzania, amechukua medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili kwa muda wa saa mbili, dakika tano na sekunde nne ( 2:05:04) kwenye mashindano makubwa ya Boston Marathon huko Marekani Leo, huku nafasi ya kwanza akichukua mkenya John Korir...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu CHADEMA juu ya madiliko haya kwa taifa la Marekani juu ya Afrika hata viongozi wa dini hawatasaidia zaidi ya kuweka tu

    Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
  8. X

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zinatumia mifumo tofauti ya kufanya hesabu za GDP. Kuna uwezekano mkubwa GDP ya China ni kubwa kuliko ya Marekani.

    Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports. Na GDP ya China huwa haihesabu...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwani dunia haiwezi kuitenga Marekani?

    Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?
  10. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni. Kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Marekani wanaweza kupitia CHADEMA

    Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani. Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka. Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa...
  12. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Wanaanga Russia na Marekani warejea duniani baada ya miezi tisa

    https://www.aljazeera.com/news/2025/4/20/soyuz-ms-26-spacecraft-brings-us-russia-crew-back-to-earth Kumbe wanashirikiana kwenye mambo ya anga
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania MAGA wa Marekani mwaka 1939 walipinga vita kama sasa hivi.

    Walipinga Marekani kuisadia Uingereza na mataifa mengine ya ulaya dhidi ya vita vya Adolf Hitler, watu wajinga wa hovyo wamekuwepo duniani nyakati zote ila wingi wao tu ndio huwa unabadilika.
  14. henry frank

    JamiiForums Tanzania Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo Ya Amani Ya Ukraine Na Urusi

    Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano. Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi...
  15. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wanafunzi na wahitimu wapya wamefunguliwa mashitaka na pia kuondolewa visa zao tangu Trump alipoingia madarakani

    Soma hii habari ya Al-jazeera. Wanafunzi wanafutiwa visa, kukamatwa na wengine kurudishwa makwao kisa kuandamana kupinga mauaji huko Palestina. Hii sio sawa. =========== Mamia ya wanafunzi na wahitimu wapya wamefunguliwa mashitaka na pia kuondolewa visa zao na maafisa wa uhamiaji tangu Rais wa...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani inafanya mashambulizi kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta Yemen

    Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani walalamika kuibuka kwa "wasiojulikana" wakivamia na kuteka raia huku wakijifanya maafisa wa serikali

    Huko Marekani kumeibuka malalamiko wanazi wa MAGA wa mrengo kulia mkali wasiotaka wahamiaji wakijifanya ni maafisa uhamiaji(ICE) au wa wizara ya mambo ya ndani(DHS) wakivamia na kukamata watu wanaowahisi ni wahamiaji haramu na kuwashikilia kizuizini! Masikini US, kumekuwa kama utawala wa manyani!
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mipasho imeibuka nchini Marekani iwapo kilichotumika kuwapiga Houth ndicho chenyewe,kwani matokeo ni tofauti.Pentagon nayo imepiga kimya.

    Mabomu makubwa kuliko yote yanayomilikiwa na jeshi la Marekani kabla ya yale ya nyuklia ni aina ya GBU-57/B Massive Ordnance Penetrator (MOP). Baadhi ya maafisa wa jeshi la Marekani wamethibitisha kuwa mabomu hayo yameshatumika mara kadhaa dhidi ya Houth tangu mwaka jana baada ya kutumwa kwa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo?

    Naomba tujadili hii maada kwa kirefu. Mada yetu: Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo? Katika medani ya kimataifa, China na Marekani hushindana vikali kiuchumi na kiteknolojia, kila taifa likitaka kuwa kinara wa dunia. Vita hii ya kiuchumi mara nyingi...
Back
Top Bottom