Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,571
- 4,747
Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi.
Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia mpaka wa Marekani na Mexico na wengine kuendelea kwenda Canada kutafuta maisha Bora.
Xi Jinping Mi mi