marekani

  1. JamiiForums Tanzania Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

    Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajabu na kweli: Marekani aimbia Iran ina saa 48 za kufanya makubaliano ya kufungua mfereji wa Hormuz

    Marekani imetoa masaa 48 ya kwa Iran kukubali kufanya makubaliano. Iran imesema HAPANA!! Tatizo marekani inapenda ikupige na usiweze kurudishia! Ikikutana na mbabe mwenye ubavu wa kurudishia huwa ni wepesi wa kutaka kuweka mpira kwapani! === United States President Donald Trump has issued...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yaomba Ceasefire kwa masaa 48, Iran yakataa

    US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita ⚡️BREAKING The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused United States is...
  4. JamiiForums Tanzania POTOSHI Vikosi vya Marekani Vya pambana na IRGC Kuokoa Marubani Waliopotea

  5. P

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa rubani wa ndege ya Marekani iliyotunguliwa na Iran aokolewa akiwa mzima

    One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports. The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials. A US official now tells NBC one of the...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Iran yatangaza kuiangusha ndege ya kivita ya Marekani, Mmoja wa viongozi wa Marekani athibitisha

    Iran imetangaza imefanikiwa kuidondosha ndege ya kivita ya Marekani Kwa majibu wa Iran, kwa sasa juhudi zinafanyika kuwasaka marubani wa hiyo ndege, huku ikitangaza donge nono kwa atakayefanikisha jambo hilo Wakati huo huo mmoja wa maofisa wa Marekani amethibitisha shirika la habari la Reuters...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Ndege-vita F-15E ya Marekani yaangushwa huko Iran!!

    🚨: Marekani Yathibitisha Ndege ya Kivita Kudunguliwa kwenye anga ya Iran Serikali ya Marekani imethibitisha kwamba moja ya ndege zake za kivita ilidunguliwa Juu ya eneo la Iran. •Operesheni ya utafutaji na uokoaji inaendelea kuwatafuta marubani •Hii inaashiria ongezeko kubwa la ajali, kwani ni...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani inajihujumu yenyewe Sasa Iran inauza mafuta kwa Yuan

    Biden alianza kwa kuizua Russia kutumia Swift payment system ilikua ni sawa na Marekani kuikalia kisu Sasa iv Iran kaikataa Dola kwenye biashara yake ya mafuta anataka Yuan hapo Marekani imekalia Mtarimbo anatapatapa BREAKING: 🇮🇷 🇨🇳 IRAN HAS OFFICIALLY STARTED TO DEMAND YUAN PAYMENTS—Bloomberg...
  9. JamiiForums Tanzania Iran inawasaka askari wa Marekani waliokimbia kambi zao na kujificha mitaani na kwenye mahoteli arabuni kote

    Muungano wa majeshi ya Iran na walinzi wa mapinduzi ya kiislamu wa IRGC,umesema Iran haipigani na nchi yoyote ya kiarabu ambao ni ndugu na majirani zao,bali wanachofanya ni kupiga maslahi ya Marekani pamoja na kupiga kambi zao za kijeshi ambapo hakuna nchi ya kiarabu ambayo haina kambi kama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Trump kuiondoa Marekani kwenye Muungano wa NATO

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anafikiria kwa kina kuiondoa Marekani kutoka kwa Muungano wa NATO baada ya washirika wa muungano huo kushindwa kuunga mkono hatua ya kijeshi za Marekani dhidi ya Iran, kulingana na mahojiano na gazeti la Uingereza, Daily Telegraph. Soma pia Marekani...
  11. JamiiForums Tanzania Trump kasema ataenda mahakamani leo kushuhudia shauri la kupitisha sheria ya kubatilisha 'uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani

    Mzuka wana jamvi ? Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani. Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
  12. JamiiForums Tanzania Italia imekataa kuruhusu ndege za kijeshi za Marekani kutua katika kituo cha kimkakati cha sigonella

    Baada ya Uhispania kuwakimbiza Wanamgambo wa Marekani kutumia anga yake Sasa ni zamu ya Italia nayo imepiga marufuku ndege za Wanamgambo wa Marekani kutumia Sigonella Air base iliyo Nchini humo. Hii vita Trump anakimavi kila akiinua kichwa anarudishwa na konzi ============= Waziri wa Ulinzi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu athari za vita inayoendelea baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran na hali ya mafuta nchini

    Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani. UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yaituhumu Russia kuisaidia Iran kinyemela

    WASHINGTON: Marekani imeshindwa kuvumilia baada kupoteza ndege E-3 AWACS Radar Plane na Refueling Tankers huko Saudi Arabia nakuelekeza tuhuma zake kwa Russia kua inaisaidia Iran kinyemela. BREAKING; US officials warn President PUTIN: Stop Indirect Military Support to IRAN After Loss of E-3...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  16. JamiiForums Tanzania Nyasi zinapendezesha sana neighborhoods za Marekani

    Kila nikisearch picha za suburbs za Marekani sichoki kuziangalia jinsi zilivyopendeza Kwanza kuanzia nyasi, unakuta nyumba hazina mageti bali zina nyasi tu mbele Pili miundombinu, kuanzia barabara za magari, watembea kwa miguu, yani hawakupi nafasi ya kuona mchanga Hizi nyasi zinapendezesha...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa waandaa maudhui wa Ulaya na Marekani siwaelewi. Kama huyu wa USA

    Hawa jamaa wamekuwa mabeberu. wanaona sisi hatuna kazi za kufanya tununue MB tuangalie sarakasi.zao mtandao. Nina wablock kabisa. Wanaona sisi ni vyanzo vyao vya mapato. bora hata yule aliyejapani. Kuna mmoja sijui anaitwa kakulilo sijui mamboa anayotuma ni bery expensive nilimblick kitambo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wachezaji na mashabiki wa Nchi 5 Afrika kulipia Dola elfu 15 (Tshs.milioni 38 hadi 39) kuhudhuria Kombe la Dunia 2026 Marekani

    Serikali ya Marekaninchini ya Rais Donald Trump inaweza kuwalazimu wasafiri kutoka nchi tano zilizofuzu Kombe la Dunia kulipa dhamana ya hadi Dola 15,000 ili kuruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa ajili ya michuano hiyo. Jinsi Dhamana Hizi Zinavyofanya KaziDhamana za viza zinafanya kazi kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia la FIFA 2026

    Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico. Idadi ya timu...
  20. JamiiForums Tanzania Media za Marekani zilivyoingizwa mkenge na familia hii na jinsi mtoto alivyofichua siri

    Mnamo tarehe 15 Oktoba, 2009, dunia ilishuhudia moja kati ya matukio ya ajabu na ya kushtua zaidi katika historia ya runinga. Tukio hili, ambalo baadaye lilikuja kujulikana kama "Balloon Boy Hoax," lilianza kama uokoaji wa maisha ya mtoto na kuishia kama kashfa kubwa ya utapeli. 1. Simu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…