marekani

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani

    Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani ambapo amesema kwa sasa kiwango cha Biashara ni kidogo kulinganisha na fursa zilizopo Amesema angependa kuona Biashara inaongezeka kwani Tanzania ni mwanachama wa SADC na EAC ambazo zinatoa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yathibitisha tena kwamba maslahi yake ni ya maana zaidi ya urafiki

    Hivi karibuni, Marekani, Uingereza na Australia, chini ya uongozi wa Marekani, zilitangaza kuanzisha ushirikiano mpya wa usalama wa pande tatu, huku lengo kuu likiwa ni kuisaidia Australia kuanzisha vikosi vya nyambizi za kinyuklia. Australia ikavunja makubaliano yake na Ufaransa kuhusu kununua...
  3. JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kuhakikisha kunakuwepo Usawa wa Kijinsia licha ya vikwazo vinavyojitokeza‬ ‪‪Amesema hayo akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa‬ Aidha, amesema hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Waliochanjwa kuruhusiwa kuingia Marekani kuanzia Novemba

    Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kikamilifu wataruhusiwa. Vizuizi vya kusafiri Nchini Marekani vimekuwepo tangu mapema...
  5. JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬ ‪ ‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

  7. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  8. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Marekani, wapinzani wakichezesha vizuri karata zao za diplomasia itasaidia sana kurejesha Demokrasia

    Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili. Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na kushindana. Raisi anaenda Marekani kwenye mkutano. Na Kama mjuavyo washauri wake ambao naamini NI wacomunisti...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Marekani Yapongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

    17 September 2021 Unguja, Zanzibar Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman amekutana na Mh. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh. Donald Wright na kufanya mazungumzo...
  12. JamiiForums Tanzania Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

    Wanaukumbi. Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu. Kulikoni tena...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo Septemba 23 Vilevile, atahudhuria Mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yahimizwa kubadilisha sera yake ngumu dhidi ya China

    Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Marekani imetekeleza sera ngumu dhidi ya China, na kusababisha kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Jarida la kisiasa na kidiplomasia la Marekani “Maslahi ya Kitaifa” limetoa makala, inayosema serikali ya Marekani inapaswa kuzingatia zaidi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojili Safari ya wanakawe kuelekea mji wa Birmingham Marekani

    Habari za kazi pia poleni na majukumu wapendwa, Itakumbukwa katika kampeni za uchaguzi jimbo la kawe, mgombea wa Chama cha mapinduzi ambaye ndiye mbunge wa sasa wa Kawe mh Askofu Gwajima, alituhaidi vijana wa kawe kwenda mji wa Birmingham na Vijana wa Birmingham kuja huku kawe, Kumekua na...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

    Ndugu zangu wana JF, Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya. So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumkashifu Rais Biden unavuma mno Marekani

    Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali
  18. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaondoka nchini Afghanistan mikono mitupu baada ya vita ya miaka 20

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Marekani Jenerali Kenneth McKenzie tarehe 30 Agosti alitangaza kwamba, Marekani imemaliza kuondoa vikosi vyake kutoka nchini Afghanistan, ikimaanisha kuwa, operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyoendelea kwa miaka 20 nchini Afghanistan imemalizika rasmi. Vita hii ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

    Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka Serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yadhalilishwa kwa kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…