marekani

  1. Marekani: Wanaojitokeza kupata chanjo wapungua, wadai wanataka kuona madhara

    Mamalaka za Marekani zimesema wanaojitokeza kupata chanjo ya #COVID19 wamepungua sababu ikitajwa kuwa wengi wanasubiri kuona madhara ya chanjo hizo. Kaunti ya Mercer iliyoko jimbo la Ohio imetolewa mfano kuwa mwezi Januari watu zaidi ya 500 walipokea chanjo ndani ya siku moja, idadi hiyo...
  2. Marekani yaiwekea Uganda vikwazo vya kusafiri, yasema uchaguzi ulichakachuliwa

    Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha kampeni. Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema katika taarifa kuwa vitendo vya serikali ya...
  3. Urusi yaijibu Marekani kwa kuwatimua wanadiplomasia wake

    Urusi imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi kwa madai ya udukuzi na kuingilia kati uchaguzi wa Marekani wa mwaka uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema John Sullivan, ambaye...
  4. Marekani mbioni kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi

    Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia Uchaguzi wa Urais 2020. Vikwazo hivyo vinavyotarajiwa kutangazwa hivi karibuni vinalenga zaidi ya...
  5. Marekani: CDC na FDA zashauri utoaji chanjo ya Johnson & Johnson kusimamishwa

    Mamlaka za Afya Nchini Marekani zimetoa rai ya kusimamishwa kwa matumizi ya Chanjo ya Virusi vya Corona ya Johnson & Johnson, baada ya ripoti za ugandaji damu. Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) na Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) zimesema zinachunguza visa 6 vya ugandaji damu kwa...
  6. Utafiti: Watu weusi wanachukiwa zaidi Marekani wanaongoza kuuawa na polisi, hizi sababu tatu

    Nimefanya utafiti wa takwimu za rangi na matabaka ya kijamii na ambavyo wanaathirika na mfumo wa utoaji haki na kuzuia uhalifu nchini Marekani 1. Wamarekani Weusi wako hatarini zaidi kuuawa na polisi Takwimu ambazo zipo wazi kwa matukio ambayo polisi wameua raia kwa risasi zinaonesha kuwa kwa...
  7. Endapo Serikali itaacha kutumia mabavu kukusanya kodi, wafanyabiashara wapo tayari kulipa kodi bila kudanganya na kofoji "documents"?

    Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa. Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
  8. Kitambaa cheusi ndani ya Bunge la Marekani, Spika wa kwanza afariki akiwa ofisini

    Marekani, August 19, 1876, Michael C. Kerr alikuwa spika wa kwanza wa baraza la Congress kufariki akiwa madarakani. Alifariki kwa ugonjwa wa consumption (TB). Huyu alitokea jimbo la Indiana. Mpaka sasa wamefariki watano wakiwa katika hiyo nafasi. Alifariki ikiwa ni mara yake ya pili kuchaguliwa...
  9. Kenya: Lockdown yasabibisha uhalifu kuongezeka, Marekani yatahadharisha raia wake

    Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu. Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba. Maeneo...
  10. Je, wajua? Marekani waliwahi kupiga marufuku pombe

    Kuanzia mwaka 1920 -1933 pombe zilipigwa marufuku nchini Marekani. Ilikua ni kinyume cha sheria kuzalisha, kusafirisha au kuuza pombe nchini humo. Lengo lilikua ni kupunguza matatizo yaliyokua yanatokana na ulevi kama uhalifu, rushwa, matatizo ya kijamii, mporomoko wa maadili, afya duni nk pia...
  11. Kaka wa Rais wa Honduras ahukumiwa kifungo cha maisha nchini Marekani

    Rais wa Honduras Juan Orlando Hernandez atoa ujumbe baada ya kaka yake Juan Antonio "Tony" Hernandez kupatikana na hatia ya ulanguzi wa madawa ya kulevya nchini Marekania, huko Tegucigalpa, Honduras Oktoba 18, 2019. Tony Hernandez, kaka wa rais wa sasa wa Honduras na mbunge wa zamani nchini...
  12. George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

    Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa. Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina akituhumiwa kuwaua watoto wawili wasichana wa kizungu, Betty June Binnicker (11) na Marry Emma...
  13. Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Barack Obama aliingia madarakani akibeba matumaini makubwa sana ya watu weusi wa Marekani na waafrika wengi kwa ujumla. Watu walifurahi sana na nyimbo nyingi zikaimbwa kusherehekea ujio wa nabii na shujaa huyu mweusi. Huku kwa mataifa yetu tulitembea kifua mbele tukijua we have a Big brother...
  14. Nikiwa ninatokea Kariakoo/Ubalozi wa Marekani nishuke kituo gani?

    Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
  15. Marekani awaomba NATO kuungana dhidi ya China

    Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken ameufungua mkutano na washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kuwaomba wanachama wenzake kushirikiana nayo dhidi ya kitisho cha China. Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken jana ametoa hotuba ya ufunguzi katika siku ya...
  16. Marekani: Kijana akijihami na Polisi, aua watu 10 kwa risasi sokoni

    Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema. Shambulio hilo huko Boulder lilitamatika wakati mtuhumiwa aliyejeruhiwa, aliyekuwa bila shati alipoondolewa kutoka...
  17. B

    Marekani yaiwekea vikwazo China

    Marekani imetangaza vikwazo vipya dhidi ya maafsaa wawili wa China kwa kile inachodai ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya waislam wa Uyghur, Xinjiang. Marekani ilishirikiana na Umoja wa Ulaya, Canada na Uingereza kwenye vikwazo ivyo. Vikwazo ivyo viliwalenga Wang Juzheng na Chen...
  18. Yaelezwa Marekani haiwezi tena kushinda vita

    Mchambuzi wa masuala ya kivita Bing West, ambaye ni mstaafu wa Pentagon na chuo cha kijeshi ametoa sababu kwanini Marekani imeshindwa vibaya kwenye vita vyake vitatu katika kipindi cha miaka 50 kwenye nchi za Vietnam, Iraq na Afghanistan. Pamoja na hivyo pia ametoa utabiri kwa uoni wake...
  19. Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
  20. Marekani ndio wauzaji wakuu wa silaha duniani na soko lao linazidi kuongezeka

    Marekani imeongeza soko lake la uuzaji wa silaha kwa nchi zingine hadi asilimia 37 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kulingana na Taasisi ya Utafiti yenye makao yake nchini Sweden. Kuongezeka kwa kiwango cha uuzaji silaha kwa Marekani, Ufaransa na Ujerumani kulisawazishwa na kupungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…