marekani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

    Rais mtata wa Ufilipino (The Philippines), Rodrigo Duterte, jana amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa nyutro (haitochukua upande wowote) ktk vita vya Russia nchini Ukraine. "Nchi nyinginezo pamoja na Ulaya zitaangamia kama Russia ikiamua kufanya mashambulizi ya maangamizi. Hivyo, ni bora...
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Miaka flani niko Bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nikaongea nae kuhusu kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nikatua Jackson Heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda Marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha. Harakati zinazofuata ni...
  3. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupokea malipo kutoka Marekani

    Habari, Wanajamii naomba msaada wenu wa njia nzuri ya uhakika ya kupokea pesa kutoka Marekani ukiachana na PayPal, Western Union au World Remit. Msaada wakuu
  4. JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani itapeleka mtambo wa kuangusha ndege na helkopta Ukraine

    Serikali ya Marekani imepewa ruhusa na Baraza la Congress kupeleka mtambo wa kupiga ndege na helkopta nchi Ukraine. Ili kuisaidia majeshi ya Ukraine kuangusha ndege za Urusi zinazosumbua sana anga la Ukraine. Tv ya India yaripoti. ===== Biden says U.S. to give Ukraine drones, anti-aircraft...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Iko hivi, Marekani kwa kutaka kuikomoa Urusi wakapata mawazo ya kugomea kununua mafuta Yao. Lakini kabla hawajafikia muafaka wa kugomea mafuta ya Urusi wakaona watafuta chanzo mbadala Cha mafuta. Hapo ndio wakapata wazo la kuiomba Venezuela kwa Raid Maduro waweze kuànza téna kuchukia mafuta huko...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Marekani waduwazwa na silaha 'ngeni' za Urusi

    Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine. Wanainteligensia hao wamebaini kuwa makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles) yanayovurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine yameongezewa vionjo au vikorombwezo fulani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

    Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland. Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na...
  8. JamiiForums Tanzania Brent Renaud: Mwandishi wa Marekani auawa kwa kushambuliwa Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Marekani anayefanya kazi nchini Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Irpin, nje ya Kyiv, polisi wamesema. Brent Renaud, mwenye umri wa miaka 50, alikuwa mwandishi wa habari na mtengenezaji wa filamu ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo hilo kwa muda sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi: Marekani inashirikiana na Ukraine katika kutengeneza silaha za kibiolojia

    Urusi: Marekani inashrikiana na Ukraine katika kutengeneza silaha za kibiolojia Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Marekani imekuwa ikidhamini fedha kwa ajili ya mradi wa kuzalisha silaha za kibiolojia nchini Ukraine, na kwamba Moscow ina ushahidi unaothibitisha suala hilo kutoka kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanachokifanya Marekani na NATO kwa ujumla dhidi ya Urusi ni sawa na kumbana paka kwenye kona; atakachokufanyia utakisimulia masha yako yote

    Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya urusi ni kuifunga mikono na miguu Urusi wakati ikipigana na ukraine, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna asiyejua kuwa nguvu ya kiuchumi ndiyo mikono na miguu inayohitajika sana wakati wa vita ili kuwezesha...
  11. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Marekani waweka rekodi mpya toka mwaka 1982, Tanzania tunajiaandae?

    Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine yanayowekewa vikwazo, Urusi ni namba mbili kwa uzalishaji wa nishati duniani huku mteja wake mkubwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kim Jon-Un: Ktk miaka 5 North Korea itarusha na kuweka angani setilaiti nyingi za kijeshi ili kuchunguza shughuli za kijeshi za Marekani

    Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan. North Korea imefanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

    Kulikuwa na suala la kupata ndege za kivita ili kupeleka Ukraine zikasaidie kupambana na Urusi. Nchi zote zikaingia baridi, halafu Marekani ikasema inafanya majadiliano na Poland ili ikubali kupeleka ndege zake Ukraine. Poland hakutaka kumkatisha tamaa Marekani, ila ikamwambia kuwa haiwezi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini naamini Putin ni Pandikizi la Marekani nchini Urusi

    1: Alichoamua kukifanya angeweza kushambulia tu maeneo ya kimkakati kuonyesha hakubaliani na Ukraine kujiunga na NATO bila kuingiza jeshi lote. Amefanya makusudi, Russia ipigwe vikwazo uchumi udolole nchi ikoswe kutawalika Russia ivunjike vipande na US awe Superpower Wa Muda wote ili kutimiza...
  15. S

    JamiiForums Tanzania 'Majeshi ya Russia yalikuwa na upole sana kwa Ukraine' Anasema afisa mstaafu wa jeshi la Marekani, ambaye pia amfananisha Zelensky na 'Mdoli'

    Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani. Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Ambassador Donald J. Wright amezungumzia maamuzi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake kuachiwa huku na Mahakama, leo Machi 4, 2022. Balozi Wright ametoa mtazamo huo kupitia kurasa zake za kijamii kwa kuandika...
  18. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania si sawa na demokrasia ya China wala Marekani

    DEMOKRASIA YA TANZANIA SIYO YA CHINA WALA MAREKANI. Na Elius Ndabila 0768239284 Kufananisha demokrasia ya Tanzania na nchi za USA, UK, CHINA, KOREA ni kuikosea Tanzania. Tanzania ni nchi ambayo haifungamani na Ubepari Wala Ujamaa. Huwezi kusema Tanzania kunaminywa demokrasia kwa kurejea rejeo...
  19. JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  20. JamiiForums Tanzania Kushuka kwa influence ya Marekani kwenye muziki mzuri pamoja na movie

    Habari wana JF.. katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa. Kwanini???? TUKIANZA NA MUZIKI, Baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…