marekani

  1. Safari za Maulid Kitenge Marekani

    Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri! NB: Mapovu pelekeni mkafulie
  2. Mambo 10 kuhusu Dick Cheney, Makamu wa Rais aliyekuwa na nguvu zaidi katika historia ya Marekani

    Mfahamu Dick Cheney aliyepata kuwa Makamu wa Rais wa 46 nchini Marekani katika utawala wa Rais George W. Bush 1. Jina lake kamili ni Richard Bruce Cheney, mzaliwa wa Lincoln huko Nebraska nchini Marekani, alizaliwa 30 January 1941. Ni mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Republican lakini pia ni...
  3. L

    Mahakama ya Uingereza yahukumu Assange anaweza kurejeshwa nchini Marekani

    Hivi karibuni Marekani imeongoza “mkutano wa kimataifa wa demokrasia”, na kwenye mkutano huo nchi za Magharibi zimedai kutetea mambo ya demokrasia na haki za binadamu duniani. Kinachoshangaza ni kwamba wakati wa mkutano huo, Mahakama Kuu ya Uingereza imetoa uamuzi kwamba mwanzilishi wa kampuni...
  4. B

    Corona: Baada ya Marekani, kwa Urusi nako "ban" Inatuhusu

    Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa variant mpya: Lakini kote kushoto na kulia "ban" zinatuhusu: Russia completely bans travel from Botswana, Zimbabwe, Hong Kong, Lesotho, Madagascar, Mozambique, Namibia, Tanzania, Eswatini and South Africa Ramaphosa tayari...
  5. Marekani: Watu 70 wafariki kutokana na Kimbunga

    Kimbunga Tornado kilicho tawanyika na kuyakumba maeneo ya majimbo sita tofauti nchini Marekani kimesababisha watu zaidi ya 70 kupoteza maisha. Akithibitisha athari hiyo Gavana wa jimbo la Kentucky amesema pamoja na vifo vya idadi hiyo ya watu wanaopindukia 70 upo uwezekano wa idadi hiyo...
  6. Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

    Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili kiwa sababu yeye ni mwanamke na ninyi mmezoea viongozi wanaume au ndio hizo...
  7. B

    Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

    Iko kama "The Comedy" tu: US puts Tanzania, five other countries on travel red list Beberu sasa katupiga kalamu kama ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra. Wengine wanapambana na hali zao, ila washupavu sisi. India ilitaarifu abiria kuwasili kwao kutokea kwetu akiwa na kirusi...
  8. Marekani kutoshiriki Michezo ya Olimpiki ili kupinga Ukatili unaofanywa China

    Marekani haitatuma wawakilishi rasmi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi huko Beijing. Kwa mujibu wa Ikulu ya Marekani, njia mojawapo ya kukemea ukandamizaji wa jamii ya Uyghur nchini China. "Hakuna afisa wa Marekani au mwanadiplomasia atakayekuwepo Beijing mwezi Februari," msemaji...
  9. Kwa yanayoendelea Marekani, Trump uenda akagombea na kushinda tena

    Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana. Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa. Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti...
  10. Mtanzania Anarudishwa Bongo Kutoka Marekani. Ana USD 10,000 (23M Tshs) Tu. Mnampa Ushauri Aitumieje?

    Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko. Anafanya kitu kinaitwa voluntary deportation ambayo badala ya kuzolewa na kurudishwa kwa lazima...
  11. Missouri, Marekani: Jaji eliyemhukumu kijana wa miaka 18 jela kakiri kukosea, kijana hakuwa na hatia yoyote ya kuua

    Eliyehukumiwa na Jaji kwa kosa la jinai la kuua akiwa mtoto umri wa miaka18, baada ya kukaa jela kwa miaka 38 na kufikisha umri wa miaka 56, limegundulika kwamba hakuwa na hatia na alifungwa kimakosa. Mahakama kuu ya Federal state ya Mosouri US na wanaharakati wamekusanya $ 1.5m sawa na 3bn...
  12. Video: Umoja wa Ulaya ma Marekani wanapanga serikali ya mpito Ethiopia

    Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni. Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray. Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
  13. Marekani yachota akiba ya mafuta kupunguza kupanda kwa bei ya nishati

    President Joe Biden on Tuesday ordered a record 50 million barrels of oil released from America's strategic reserve, aiming to bring down gasoline and other costs, in coordination with other major energy consuming nations including India, the United Kingdom and China. The U.S. action is focused...
  14. Bondia mstaafu wa Marekani, Mike Tyson, ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo

    Serikali ya Malawi kupitia Wizara ya Kilimo, imechukua hatua hiyo ikiwa ni miezi michache tangu iidhinishe kilimo na matumizi ya bangi nchini humo tarehe 27 Februari 2020.
  15. Marekani yatajwa kuporomoka kidemokrasia

    Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya IDEA imeiweka Marekani kwenye orodha ya mataifa yanayorejea nyuma kidemokrasia kwa mara ya kwanza, inayoashiria kuporomoka vibaya kwa taifa hilo kulikoanza mwaka 2019. Kilimwengu, mtu mmoja katika kila watu wanne anaishi katika taifa ambalo demokrasia yake...
  16. L

    China yatajwa zaidi katika ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Anthony Blinken, amemaliza ziara yake katika nchi tatu za Afrika, baada ya kutembelea Kenya, Nigeria na Senegal. Ziara ya Bw. Blinken inafanyika wakati Marekani inajaribu kuonyesha kuwa inarudi kwenye ulingo wa siasa za kimataifa kuhusu Afrika baada ya...
  17. Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

    Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha...
  18. L

    Nchi zinazoendelea zinafurahi kuona China na Marekani zinaimarisha ushirikiano wao

    Na Fadhili Mpunji Katika muda mrefu miaka karibu mitano sasa, mawasiliano kati ya China na Marekani yamekuwa katika hali ambayo wachambuzi wengi wameiita si ya kawaida. Tangu Rais Donald Trump alipozusha mvutano usio na maana na China, mawasiliano ya kidiplomasia na hata uhusiano wa kiuchumi...
  19. John Francis Raia Wa Marekani Aliyetembea kwa Miguu Miaka 22 Akiizunguka Marekani Kuhamasisha Utunzaji Wa Mazingira

    JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza chochote yaani bila kutoa sauti, kwa kawaida tu binadamu tunatofautia wengine hata sekunde moja...
  20. Serikali ya Marekani kutoa Bilioni 437 kwa ajili ya Miradi ya Afya

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kupokea kiasi cha shilingi Bilioni 437 kwa kipindi cha miaka 5 kwaajili ya miradi ya Afya inayolenga kuwafikia wananchi katika ngazi ya jamii. Hayo yamesemwa leo 15 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…