marekani

  1. JamiiForums Tanzania Biden atoa msamaha kwa waliokamatwa na Bangi

    Rais Joe Biden amewasamehe Wamarekani wote ambao wamepatikana na hatia katika ngazi ya kitaifa ya kumiliki kiasi kidogo cha bangi. Maafisa wanakadiria takriban watu 6,500 walio na hatia ya kupatikana na bangi watafaidika na msamaha huo. Kwa sasa hakuna mtu aliyefungwa kupitia shirikisho kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa waliwahi kuomba kazi Ubalozi wa Marekani

    Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote. Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Marekani na Korea Kusini warusha kombora kuijibu Korea Kaskazini, Korea Kaskazini yawatumia nyongeza ya makombora 2 ya balistiki

    Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vyema Mataifa ya Magharibi (Ulaya na Marekani) wakaacha Unafiki mara moja

    Thread was deleted
  5. JamiiForums Tanzania Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

    Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa Russia (itake isitake) inakwenda kugawana baadhi ya majimbo yake ya mpakani na Marekani kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania Uza bidhaa nchini Marekani ukiwa Tanzania

    IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA. Fulfilment By Amazon (FBA). 1.AMAZON ni nini? AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji kisha atalipia baada ya malipo AMAZON watamletea mteja bidhaa hiyo mpaka mahali alipo nchi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

    Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari. Hii dunia...
  9. JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  10. JamiiForums Tanzania Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  11. JamiiForums Tanzania Zelensky anaposifia silaha za Marekani hana nia nzuri na dunia

    Kila siku raisi wa Ukraine anapotaka kujisifu kuwa amekomboa eneo au tuseme anapopiga propaganda za vita hawachi kusifu silaha fulani aliyopokea karibuni kutoka Marekani au kwa washirika wake. Na anaponyimwa chochote na nchi hizo hawachi kutoa lawama za wazi wazi na vitisho kwa taifa hilo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Joe Biden: Marekani haiwezi kutishwa na Putin

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameionya Urusi kuwa Nchi yake haitatishwa na itisho vya Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye amtenganza kuendelea kuyashikilia maeneo kadhaa ya Ukraine na kutishia kutumia nyuklia. Akizungumza akiwa amenyoosha kidole kwenye kamera, Rais Biden alisema "Marekani...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani waanza kuisusa Ukraine au ni uwoga wa vita?

    White House responds to Ukraine’s NATO request Now is not the time, says national security adviser Jake Sullivan.
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Kimbunga IAN chaua watu 45 na kuharibu nyumba zaidi ya 80,000

    Pia, Kimbunga hicho kinachoanza kutoweka kimeharibu takriban nyumba 80,000 katika mji wa Fort Mayers, na kuwaacha gizani zaidi watu Milioni 1.8 kutoka miji kadhaa ya jiji la Florida. Kituo cha Taifa cha Udhibiti wa Vimbunga cha Marekani, (NHC) kilisema Kimbunga Ian kilichopungua nguvu kufikia...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yaandaa kifurushi cha $1b kwenda Ukaine huku tukisubiri wanywa gongo wanaolazimishwa kwenda kufa Ukraine

    Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na kukimbia mapigano..... WASHINGTON (AP) — The U.S. will provide an additional $1.1 billion in aid...
  16. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Mtanzania akawa mwanajeshi wa jeshi la Marekani?

    Wakuu, Ebu nifumbueni macho, nahisi huyu cousin wangu ananipiga kamba. Iko hivi, alimaliza form 6 hapa bongo mwaka 2009 akaitwa na dada zake wako huko Texas marekani, lengo alitakiwa akasome chuo huko masuala ya IT. So chuo alimaliza ila hakurudi bongo tena, akawa anafanya kazi kwenye kampuni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Napenda kwenda nchini Marekani

    Mie ni mtumishi wa serikali (halmashauri ya wilaya) umri wangu umesonga mbele natarajia kustaafu, hivyo basi kabla sijastaafu napenda kutembelea nchini Marekani maarfu USA. Naombeni mnijuze Kwa kifupi hasa nikifika ubalozi hapo Dar es Salaam maafisa wa ubalozi wataniuliza maswali yapi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kusini adaiwa kunaswa akiwaita wabunge wa Marekani "wapumbavu"

    Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu" Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa safari yake mjini New York, si sahihi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Rais wa Korea Kusini...
  19. JamiiForums Tanzania Putin ampa Edward Snowden Uraia wa urusi

    Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi. Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi imeendelea kumshikilia Star wa basketball Britney Griner .
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Chanjo ya Covid 19 imesababisha madhara makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40,

    Huko Marekani, madhara ya chanjo ya COVID 19 yameanza kujitokeza baada ya kusababisha matatizo makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40. Magonjwa ya moyo sasa yameanza kua ya kawaida kwa watoto wadogo ambao hawakua nayo kabla ya chanjo ya covid. Dr. Marty Makary, Profesa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…