The marathon is a long-distance race with an official distance of 42.195 kilometres (26 miles 385 yards), usually run as a road race, but the distance can be covered on trail routes. The event was instituted in commemoration of the fabled run of the Greek soldier Pheidippides, a messenger from the Battle of Marathon to Athens, who reported the victory. The marathon can be completed by running or with a run/walk strategy. There are also wheelchair divisions.
The marathon was one of the original modern Olympic events in 1896, though the distance did not become standardized until 1921. More than 800 marathons are held throughout the world each year, with the vast majority of competitors being recreational athletes, as larger marathons can have tens of thousands of participants.
Kilimanjaro Marathon 2026 inakuja… lakini swali ni hili:
Kwa nini bado inaonekana kama event ya wageni kuliko sisi wenyewe?
Kila mwaka wageni wanajaa Moshi, wanakimbia, wanatumia pesa… sisi tunabaki kuangalia tu.
Tatizo ni gharama, uhamasishaji au mindset?
Tukiamua, hii inaweza kuwa event...
Ugandan long distance runner Jacob Kiplimo has made history after setting a new Half Marathon World Record with an astonishing time of 57 minutes and 20 seconds at the Lisbon Half Marathon.
The remarkable performance marks another major milestone for Uganda in international athletics, further...
Former world marathon record holder Brigid Kosgei delivered a commanding performance at the Tokyo Marathon, clocking 2:14:29 to break the course record previously set by Asefa Kebede. Despite the victory, Kosgei said she was targeting a personal best and now hopes to challenge the 2:10 barrier...
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
30 Oktoba 2025
Jiji la New York City
USA
Majina makubwa ya wakimbiaji mbio za marathon kyshiriki mbio hizo jumapili tarehe 4 November 2025 saa mbili asubuhi
Mwamba huyo kutoka Tanzania mbali ya kutaka ushindi kwa sifa ya nchi pia kuna kitita kikubwa cha dollars za Kimarekani kutoka kwa...
Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:03:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!
Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka...
Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
INTRODUCTION.
Haloo mpoooo ....
Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA.
Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA??
Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya...
Dodoma marathon iliyounganika pamoja na festival ya kuchoma nyama, inaleta mabadiliko chanya sana kibiashara na kiuchumi kwa mkoa wa Dodoma,
Je hii hawezi kuzunguka na mikoa mingine?
Nimeona mpaka TRC imepandisha bei za Tickets kumaanisha kuna ongezeko la mapato.
Washiriki wekeni likes hapo...
Mashindano ya kukimbia yanayojulikana kwa jina la Msakuzi Marathon yatafanyika ndani ya Msitu wa Hifadhi wa Pande uliopo Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, Julai 12, 2025 ambapo washiriki watapata nafasi ya kuangalia uoto wa asili na kupishana na wanyama ndani ya hifadhi hiyo.
Waziri wa...
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 - 10, 2025 Jijini Mbeya...
Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani.
Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda.
Lengo kuu la kushiriki sio kushinda bali ni moja ya:
1. Kujifurahisha kwa njia ya michezo.
2. Kupata...
Leo tarehe 23/02/2025 huko nchini Korea Kusini bendera ya taifa imepeperushwa vyema na kijana Mtanzania Gabriel Geay kwa kuvunja rekodi ya mbio za Daegu Marathon (course record) kwa kutumia muda wa masaa 2:05:20 na kuibuka wa kwanza. Ikumbukwe Geay ndo anashikilia rekodi ya taifa ya marathon kwa...
Wana Jamvi,
Nipo Moshi baada ya kitambo kirefu cha kuhudhuria hili ambalo sasa tuliite tamasha la mbio za marathon la Kili Marathon.
Kwa hizi siku mbili za tamasha kuelekea kilele chake siku ya jumapili tarehe 23 Februari, kimsingi ni leo siku ninayoandika uzi huu. Hili tamasha limekuwa kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.