marathon

The marathon is a long-distance race with an official distance of 42.195 kilometres (26 miles 385 yards), usually run as a road race, but the distance can be covered on trail routes. The event was instituted in commemoration of the fabled run of the Greek soldier Pheidippides, a messenger from the Battle of Marathon to Athens, who reported the victory. The marathon can be completed by running or with a run/walk strategy. There are also wheelchair divisions.
The marathon was one of the original modern Olympic events in 1896, though the distance did not become standardized until 1921. More than 800 marathons are held throughout the world each year, with the vast majority of competitors being recreational athletes, as larger marathons can have tens of thousands of participants.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kelvin Kiptum ashika rekodi mpya ya dunia katika marathon huko Chicago (2:00:35). Kipchoge kwisha habari yake!

    Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09). Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe leo baada ya Kichapo ndiyo unajua kuwa Ligi ni Marathon?

    "Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo. Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa...
  3. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Mtanzania Magdalena Shauri aweka Rekodi ya Taifa Berlin Marathon

    Mwanariadha pekee wa Tanzania wa kike, Magdalena Shauri ameshika nafasi ya Tatu na kuweka rekodi ya Taifa kwa kukimbia muda wa 2:18:41 katika mashindano ya berlin Marathon Leo huko Ujerumani. === Assefa clocked 2hr 11min 53sec, more than two minutes ahead of the previous world mark of 2:14:04...
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza Sydney Marathon huko Australia

    Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Gerald Geay ashindwa kumaliza baada ya kupata changamoto ya kiafya kuanzia kilomita 30 na alipofika kilomita 35 akashindwa kuendelea na kapumzika. Walichoandika World Athletics (WA); After a half way split of 1:03:56, they passed 30km together in 1:30:58 but...
  5. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Gabriel Gerald Geay atua Sydney Australia kushiriki mbio za Sydney Marathon Jumapili ijayo

    Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili. Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wanariadha zaidi ya elfu arobaini (40,000) wanaotoka katika nchi 66...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ruangwa Marathon ni maalumu kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki katika mbio za Ruangwa Marathon ambazo ziliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Septemba 9, 2023 Mkoani Lindi. Akizungumza baada ya kumalizika kwa Marathon hiyo Waziri Mkuu Mhe...
  7. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ashiriki mbio za Ruangwa Marathon 2023

    Joseph Panga (1:04:12) na Jackline Sakilu (1:12:08) Washinda Mbio za Ruangwa Half Marathon 2023. Huku nafasi ya Pili ikienda kwa Hamis Athumani kwa muda wa ( 1:04:15) na nafasi ya tatu ni Nestory Stephen ( 1:04:39) kwa upande wa wanaume. Kwa upande wa wanawake kwa kilomita 21 , nafasi ya pili...
  8. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay Kushiriki mbio za Sydney Marathon

    Mwanariadha wetu, wa kimataifa wa riadha tanzania , Gabriel Gerald Geay anatarajia kushiriki mashhindano ya Sydney - Marathon , inayotarajiwa kufanyika tarehe 17 Septemba, 2023. Anaenda kushiriki na wanariadha wengine wenye muda bora. Geay, ni mwanariadha wa 9 bora duniani kwa muda wake wa saa...
  9. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mume na Mke Washinda Mbio za JKT Half Marathon 2023

    Wanariadha Faraja Lazaro Damas na Magdalena Shauri ambao ni Mume na mke na ni waajiriwa wa (JWTZ) wameshinda mbio za JKT Half Marathon 2023, Zilizofanyika tarehe 25 Juni 2023, jijini Dodoma. Faraja na Magdalena walishinda mbio hizo za kilomita 21.1 (21K) kwa muda wa (1:03:45) na (1:11:22 ) na...
  10. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania JKT Half Marathon 2023 kufanyika Dodoma Jumapili

    Mashindano ya Mbio za barabarani za nusu marathoni za JKT ( JKT Half Marathon 2023) Kufanyika Jumapili tarehe 25 Juni 2023 Jijini Dodoma. Mbio hizo ni za Kilomita 21 (21.1K), kilomita 10 (10K) na Kilomita tano (5K, Fun Run). Zawadi za Washindi zimeshatangazwa, 21K anachukua milioni moja na...
  11. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Elimu: Sio kila mbio ni Marathon, waandaaji waaswa

    Waandaaji wa mbio za Barabarani nchini Tanzania, wameaswa kuacha kutumia ne no “MARATHON” kwa kila mashindano wanazoanzisha, kwa kuwa zipo tofauti; Marathoni ni kilomita 42, wakati wanaoanzisha mbio za kilomita 21 pia wanaziita Marathon badala ya Nusu Marathoni (half marathon); kupitia ukurasa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Haydom marathon 2023 kuchangia matibabu kaya masikini

    Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mtanzania apeperusha vema bendera ya Taifa kwenye Boston Marathon. Ashika nafasi ya 2

    Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani Geay alifanikiwa kumaliza mbio baada ya saa 2:06:04 akimaliza nyuma ya kinara, Evans Chebet kutoka Kenya aliyekimbia mbio...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Gabriel Geay wa Tanzania awa tishio mbio za Boston marathon 17 April 2023

    Boston, Marekani MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023 GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY ! Evans Chebet of Kenya wins back-to-back Boston Marathons, this time in 2 hours 5 minutes 54 seconds...
  15. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Kigali International Peace Marathon: Wabongo twendeni tukashiriki au tuandaeni mabango

    If you know wharra am saying. Maana huwa tunajitia umaajumui sana katika mambo tusiyoyajua.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kwenda Gym. Gym yataka Moyo!

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli " Yep! Yap! Yep! Yap! Swapswapswap! Yep!yep! Yap! Yep! Yep! Yep!yep! Kiuno! Up! Dancedancedance! Magoti Tap! Jumpjumpjump! Bend down! Downdowndown!" Mwalimu anarudiarudia kuimba kipande hicho akisaidiwa na mdundo WA muziki mkubwa, kifuani kwake kulichomekwa...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon

    Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon Leo tarehe 4/12/2022, mtanzania Gabriel Geay (26) aweka rekodi mpya ya taifa kwa mbio za km 42 (Marathon) huko Valencia, Spain. Geay kamaliza mbio hizo akiwa wa pili kwa muda wa masaa 2:03:00 ambayo ni muda wake binafsi bora zaidi pia...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Swali la kimaadili kwa UVCCM Green Marathon Dodoma

    Bila kuwa na maneno mengi naomba kuwauliza vijana wa ccm waliopo DODOMA kwenye matukio muhimu ya chama chao na hicho kinachoitwa Green Marathon maswali yafuatayo. 1. Leo UVCCM wanainjoi na kunufaika kwa CCM kuwa chama dola je wanawaza nini Juu ya vijana wenzao wa vyama vingine hasa chadema...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbio za Marathon ndiyo zimekuwa mitoko ya Watanzania

    Siku hizi watanzania wakitaka kuvinjari hujiunga kwenye mbio za Marathon. Ingawa kuna tetesi kuwa mambo huko huwa moto! Baadhi ya washiriki wa CRDB Marathon 2022.
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha afariki akishiriki katika mbio za London Marathon 2022

    Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 alifariki baada ya kuzimia alipokuwa akikimbia mbio za London Marathon, waandalizi wamethibitisha. Mwanamume huyo, kutoka kusini-mashariki mwa Uingereza, aliugua kati ya maili 23 na 24 kati ya tukio la maili 26.2. Alipata matibabu ya haraka na gari ya wagonjwa...
Back
Top Bottom